QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Ahsante sana Lege. Ila usikae sana sasa hadi tukasahau season 3 ilipoishia.
 
Ungekuwa nchi za wenzetu ukauza script yako Kama hivi Wewe millionaire Sasa hivi..
Una kipaji mkuu..
..Keep it up bro!
 
Lege.....shukrani sana kiongozi,ila kama season 4 ipo,fanya mpango uimwage.maaana hii inanoga mnooo
 
Hii story mpaka imefika season 4 watu hawajajipa uhusika tu?

Hata wa kujiita Austin hayupo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Mmoja ajitolee hata awe Dr Marcelo tu basi inatosha
 
Mmh hii story haitabiriki mkuu huyo Dr macelo mwenyewe haeleweki inawezekana akawa bonge la ngedere huyu
 
Mkuu bora ataniwe Job kuliko Dr... Dr mjinga sana na lily wake

Back
Top Bottom