Bora umemwambia akaanzishe uzi wake tutasoma,hapa anatuchanyia habariIla mkuu umekosea kucopy hiyo story hapa utawachanganya wadau ni vyema ukaanzisha uzi wake
Mwanae yupo humu atatufunga tena ni mwanasheria ndio aliye achiwa mikoba na babaye mzee mtobwa .uzuri vitabu vya ben mtobwa vyote vipo vinapatikana mkuu.hata kama upo mkoani unatumiwaMkuu LEGE fanya utuwekee nyingine sijui ya huyo Ben kwenye thread nyingne kama itawezekana, huku tunamsubiria Austin apone...
Achana nao mkuu hawa ndio wale wasiojua maana na usiwape wacha wakatekwe mbele wanafikiri humu fb wana jitolea minamba yao andikeni na majina yenu halisi bhash mnaingizwaa king kisa riwaya wepesi kusahauMnavyokuwa wepec kuweka no za cm muhakikishe hamfanyi makosa ya kimtandao coz mmeshawapa tcra pa kuanzia. Hivi inakuaje mtu unarahisisha private parts zako hivo? Kesho ukianza kusumbuliwa na watu wasiofahamika mnakuja kulia lia. Next tym mtumieni no pm huyo mtu
Hhaahahahaha ndio maana mm mtu akinambia nitumie namba hiyoo.huwa situmi.Achana nao mkuu hawa ndio wale wasiojua maana na usiwape wacha wakatekwe mbele wanafikiri humu fb wana jitolea minamba yao andikeni na majina yenu halisi bhash mnaingizwaa king kisa riwaya wepesi kusahau
Niliweka kionjo tu ili kama mtu ataipenda story aitafute huku akiwa anasubiri Queen Monica season 4... Nisingeweza kuanzisha thread ndani ya thread wakuuNa sidhani kama atakuwa na ruhusa hiyo maana ni kosa.sababu vitabu vyake vipo.lakini kama ataongea na mhusika na kupata ruksa hiyo sawaa.
Acha waendelee wahuni wapate pa kuanzia kuwatapeliAchana nao mkuu hawa ndio wale wasiojua maana na usiwape wacha wakatekwe mbele wanafikiri humu fb wana jitolea minamba yao andikeni na majina yenu halisi bhash mnaingizwaa king kisa riwaya wepesi kusahau
0719909691 nitupie mkuuWeka namba ya whatsap nikutumie kwa pdf
Wakuu someni Riwaya inaitwa kisasi ipo humu ni hatari atiiMwenye jina la simulizi ya Kijasusi inayobamba humu JF atusaidie ili tukapate pumziko huko
Mmh we endelea tunimeishia sizoni ya 3 ..episode ya 30....kuna zaidi kwani...???
Nitoe namba yangu ovyo Nina wazimu au?!Hhaahahahaha ndio maana mm mtu akinambia nitumie namba hiyoo.huwa situmi.
Kama nimsomi wa vitabu utakuwa unatambua kuwa kusambaza kazi ya mtu bila ya kuwa na idhini naye ni kosaa kubwa sana
Eti mkuu peniela ilifika mwisho kwel?Kwa Sie tuliekuwa Tunaifatilia Paniela Kwa Kiwahka wahka hali hii Ilitukuta
Hivyo Uzoefu tunao
LEGE badala ya kujibu comment nadhani ingekuwa Ni vyema ukaweka episode Za hiyo season 4!Ndio mkuu
Ni kweli kabisaaa.mkuu season 4 ndio ipo jikono nadhani baada ya wiki 2 itakuwa tayari.LEGE badala ya kujibu comment nadhani ingekuwa Ni vyema ukaweka episode Za hiyo season 4!
Story ikiwa dormant hivi kwa muda mrefu inapoteza mvuto Na kuwa ina boa sana!!