QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Mkuu LEGE fanya utuwekee nyingine sijui ya huyo Ben kwenye thread nyingne kama itawezekana, huku tunamsubiria Austin apone...
Mwanae yupo humu atatufunga tena ni mwanasheria ndio aliye achiwa mikoba na babaye mzee mtobwa .uzuri vitabu vya ben mtobwa vyote vipo vinapatikana mkuu.hata kama upo mkoani unatumiwa
 
Mnavyokuwa wepec kuweka no za cm muhakikishe hamfanyi makosa ya kimtandao coz mmeshawapa tcra pa kuanzia. Hivi inakuaje mtu unarahisisha private parts zako hivo? Kesho ukianza kusumbuliwa na watu wasiofahamika mnakuja kulia lia. Next tym mtumieni no pm huyo mtu
Achana nao mkuu hawa ndio wale wasiojua maana na usiwape wacha wakatekwe mbele wanafikiri humu fb wana jitolea minamba yao andikeni na majina yenu halisi bhash mnaingizwaa king kisa riwaya wepesi kusahau
 
Hhaahahahaha ndio maana mm mtu akinambia nitumie namba hiyoo.huwa situmi.

Kama nimsomi wa vitabu utakuwa unatambua kuwa kusambaza kazi ya mtu bila ya kuwa na idhini naye ni kosaa kubwa sana
 
Na sidhani kama atakuwa na ruhusa hiyo maana ni kosa.sababu vitabu vyake vipo.lakini kama ataongea na mhusika na kupata ruksa hiyo sawaa.
Niliweka kionjo tu ili kama mtu ataipenda story aitafute huku akiwa anasubiri Queen Monica season 4... Nisingeweza kuanzisha thread ndani ya thread wakuu
 
Achana nao mkuu hawa ndio wale wasiojua maana na usiwape wacha wakatekwe mbele wanafikiri humu fb wana jitolea minamba yao andikeni na majina yenu halisi bhash mnaingizwaa king kisa riwaya wepesi kusahau
Acha waendelee wahuni wapate pa kuanzia kuwatapeli
 
Hhaahahahaha ndio maana mm mtu akinambia nitumie namba hiyoo.huwa situmi.

Kama nimsomi wa vitabu utakuwa unatambua kuwa kusambaza kazi ya mtu bila ya kuwa na idhini naye ni kosaa kubwa sana
Nitoe namba yangu ovyo Nina wazimu au?!
Yule jamaa mule kwenye Mtuhumiwa anasemaga You know what am sayn!!
 
Ndio mkuu
LEGE badala ya kujibu comment nadhani ingekuwa Ni vyema ukaweka episode Za hiyo season 4!
Story ikiwa dormant hivi kwa muda mrefu inapoteza mvuto Na kuwa ina boa sana!!
 
LEGE badala ya kujibu comment nadhani ingekuwa Ni vyema ukaweka episode Za hiyo season 4!
Story ikiwa dormant hivi kwa muda mrefu inapoteza mvuto Na kuwa ina boa sana!!
Ni kweli kabisaaa.mkuu season 4 ndio ipo jikono nadhani baada ya wiki 2 itakuwa tayari.

Kukaa mda mrefu ni hasara au utamu wa story wenyewe mkuu ningeendelea na kautaratibu kakuweka kidogo kidogo tusingekiwa tunapata brake ndefuu hivi.
 
Back
Top Bottom