Wakuu naomba mnisamehe bulee na kibaya zaidi ni kuwa niliwaahidi lkn mbaya zaidi ni kuwa laptop yangu ninayo itumia imekufa.kwanza ilianza kwa kuzima baada ya mda ikawa inazidi kupunguza mda wa kujizima haikai sana inazima.mwishowe jana ndio imegoma kabisa kuwaka but baada ya kuhangaika nayo ikaonekana kuwa processor imekufa.so hapo nikawa sina ujanja na ndio sababu hiyo iliyonifanya nisiweke mwendelezo but all in all nimeazima now hapa laptop nataka nijitahidi niiweke season 4 yote maana najua wadau mnakiu sana ndio maana mizuka inawapanda na kumwaga lawama na kutoa kauli kaki msiwe na wasi tupo pamoja jf daima.
Burudani hapa ni free .