QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Vya bure ni sheedah... Nafikiria kujisahaulisha kabisa then nikirudi baada ya mwezi nikute imeisha.
 
Naona lege na laptop alioazima imezingua pia,ushauri tu kwa bwana lege zama hizi unatakiwa straight sio kufanya watu wazima Kama watoto wadogo.ni hapa hatukujui kwa picha Ila ingekua inawekwa picha yako hapa hata ungepata tatizo njiani watu wangeona ni sound tu( muongo)
Hahhaah jamaan tumsamehe labda mwenye laptop kamnyima si mnajua cha mtu
 
Naona lege na laptop alioazima imezingua pia,ushauri tu kwa bwana lege zama hizi unatakiwa straight sio kufanya watu wazima Kama watoto wadogo.ni hapa hatukujui kwa picha Ila ingekua inawekwa picha yako hapa hata ungepata tatizo njiani watu wangeona ni sound tu( muongo)
hahahah mkuu wewe tuu hunifaham lakini mm nafahamiana na watu wengi sana mbona humu haswa kutoka kulee jukwaa na kijiweni.

mkuu nimepata pigo sio juu ya story tuu but kuna mambo mengi sana yalikuwepo kwenye hiyo laptop.kwakuwa nimepata nyingine msiwe na wasi mkuu naweka mambo sawa then natuma
 
Lege kwa sound hatari mara kompyuta imezingua mara nimeazima afu mpaka sahv kimya
mkuu kumbuka kuna maisha nje ya jf aisee .huwezi ukasema ukomae na jf wakati kuna mtu kafika anataka kupewa huduma .harafu siunajua tena nitashindwa hata kuwaletea story yenyewe
 
hahahah mkuu wewe tuu hunifaham lakini mm nafahamiana na watu wengi sana mbona humu haswa kutoka kulee jukwaa na kijiweni.

mkuu nimepata pigo sio juu ya story tuu but kuna mambo mengi sana yalikuwepo kwenye hiyo laptop.kwakuwa nimepata nyingine msiwe na wasi mkuu naweka mambo sawa then natuma
sawa lege usiwe na shida sisi tupo
 
SEHEMU YA 33

Waliingia katika chumba kile
chenye kompyuta za kuhifadhia kumbu
kumbu .Irene akaanza kufanya kazi
yake huku Mukasha akitazama bila
kuelewa alichokuwa anakifanya.Baada
ya dakika zaidi ya kumi na tano Irene
akasema
“ Got it!!
“ Real ?? akauliza Mukasha
“ Yes”
“I knew you can do it” akasema
Mukasha kwa furaha
“ Nataka ufuatilie kuanzia leo
asubuhi ameongea na nani?
Irene akabonyeza haraka haraka
kompyuta yake na kusema
“ Leo asubuhi amepiga simu sita
nje ya nchi.Ni simu nne tu za ndani
alizopigiwa”
“ Ok nataka kuzifahamu simu hizo
amempigia nani?akauliza Mukasha
Irene akamuonyesha zile namba
akastuka baada ya kuiona namba ya
simu ya Janet .
“ Janet !! akasema
“ Irene nataka kusikia maongezi
waliyoongea rais na mwenye namba
hizi.Can you do that?
Irene akatumia kama dakika tano
“ Imenilazimu kuingia katika
mtandao wa hii namba nyingine na
kutafuta maongezi aliyoongea na rais
kwani maongezi yote huhifadhiwa.Mzee
Mukasha hiki tunachokifanya ni hatari
kubwa tukigundulika ..”
“ Usiogope Irene.Naomba nisikie
walichokiongea” akasema
Mukasha.Irene akampa spika za
masikioni akaanza kuskiliza
“ Monica ??!! akajikuta akitamka
“ Irene rudisha tena .Nataka
kusikia tena toka mwanzo” akaomba
 
Mkuu na hiyo PC na yenyewe imelala tena? Maana naona umeshtua watu nyonga na kupotea?
 
Shukran LEGE kwa kuamsha najua baada ya hapa nondo zitaendelea kutelemka kwa kasi ya DART
 
legeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wengine tunategemea hii story tusogeze saumu
 
Back
Top Bottom