Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Tatizo la hadithi za LEGE kila aliotoa maoni toka mwanzo,inawezekana kabisa, ila tutarajie mengi makubwa, kwahiyo Dr. Marcelo hana chake, dah!!
Mwisho wa siku hua kinyume kabisaaa, na huelekea sehemu nyingine kabisaaa ambayo mtu hakutarajia lakini kutamu zaidi.
Hilki ndicho hufanya hadithi za LEGE kutofautishwa na hadithi nyingibe nyiiiiiiingi sanaa
Atakataa hapo raisi atatumia nguvu hata kumteka na hapo ndipo ujasusi utaibuka.
Hayo ni mawazo lakini yatabagilika ghafla