QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Niwatakie usiku mwemwa mliopo nyumbani TZ. Mwanzo umekuwa wa kusumbua kidogo, hata mwandiko na mpangilio haujawa mzuri, lakini mtapata vitu bora kadri siku zinavyoenda. karibuni
We uko nchi gn?
 
Heshma kwa Mkuu LEGE, nimekamilisha kile nilichokuwa nimekabidhiwa. Pasipo shaka weekend murua. Najua season 5 ni balaa. Asante sana Mkuu LEGE, mzigo nimeufikisha kadri nilivyoweza.
Ni hii ndio zawadi yako
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Niwatakie usiku mwemwa mliopo nyumbani TZ. Mwanzo umekuwa wa kusumbua kidogo, hata mwandiko na mpangilio haujawa mzuri, lakini mtapata vitu bora kadri siku zinavyoenda. karibuni
Mkuu nashukuru sana maana viatu ulivyo vivaa vimekuenea barabara mambo madogo ya kuzingatia ni kuvalia socks sinazoendana na viatu vyenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…