QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Acha kupotosha watu mkui
Sasa mkuu kwa arosto hii si bora tu tuseme stori imeisha, iki hata nafsi za watu zilizike na zisiendelee kuumia mkuu.
Kila siku mta huu huuu, kama kilio cha umbwa.
Usione hivi mkuu LEGE nafsi znatuuma mno,
Kama unavojua hata uwe jangwani ambapo unaamini kabisaa hakuna maji, lakini kiu itabana tuu, hii ni sawia na hii stori, hata kama tunajua una majukumu mengi lakini kiu zetu huendelea kubana tuu.

Mathalani umesema wiki hii, ili nisiumie zaidi najiwekea mwezi ujao[emoji144] [emoji144] ili hata wiki hii utakua umebanwa basi na shughuri za hapa na pale, naamini baada ya mwezi wa saba naamini kwenye wa nane hivi unaweza kutuwekea

Sasa ikitokea ahadi ikatimia wiki hii, hiyo inakua faida kwangu
 
Nazani wiki hii mambo yatakuwa powa.

Mwanzo nilikuwa naweka taratibu kidogo kidogo ili kubalance alosto lakini wadau mkawa mnalalamika sana.mm nilikuwa nafanya vile kwa maana ya kutopata pumziko la mda mrefu sanaaa.
Tupo Lege tunasubili jamaan
 
Week hii kwa lege ni mwezi mmoja. Usijipe too much hope lege namkubali ila ana sound sana. Cha msingi usiweke matumaini ya week hii sana.
Hahahahaha mkuu.usiwe na wasi kabisa na mimi.sihawahi anzisha kitu kikaishia katikati kazima nikimalizie mpaka mwisho kabisaaaaaa.

Siku mzigo nadondosha hapa nitafanya kali ya hatari sito ongea nita liamsha dude mwanzo mwishoo.
 
Nazani wiki hii mambo yatakuwa powa.

Mwanzo nilikuwa naweka taratibu kidogo kidogo ili kubalance alosto lakini wadau mkawa mnalalamika sana.mm nilikuwa nafanya vile kwa maana ya kutopata pumziko la mda mrefu sanaaa.
Huenda ulikuwa unaimalizia kutunga, [emoji109] [emoji16]
 
Hahahahaha mkuu.usiwe na wasi kabisa na mimi.sihawahi anzisha kitu kikaishia katikati kazima nikimalizie mpaka mwisho kabisaaaaaa.

Siku mzigo nadondosha hapa nitafanya kali ya hatari sito ongea nita liamsha dude mwanzo mwishoo.
Fanya hivyo mkuu.[emoji134] [emoji134]
 
Il lege nakukubali sana kaka hujawai kutuangusha isipokuwa miss Tanzania ndio uliishia njiani kaka. Ila naamini hiii inaisha. Mungu akutie nguvu kaka ktk kutuburudisha
 
Il lege nakukubali sana kaka hujawai kutuangusha isipokuwa miss Tanzania ndio uliishia njiani kaka. Ila naamini hiii inaisha. Mungu akutie nguvu kaka ktk kutuburudisha
Mbona iliisha itafute!
 
WAKUU MZIGO NAUBWAGA LEO HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE..NAWAHI KURUDI HOME ILI NIKOMAE MPAKAA NAMALIZA SEASON 5.MPAKA MWISHO WA RIWAYA HII
Amsha popo mkuuu tupo nyuma yako tunakulinda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…