QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

DAAA HAKUNA JINSI HAPA ITABIDI KUSUBILI TUU UMEME UMEKATIKA YAWEZEKANA NI MAENEO MENGI YA JIJI SINZA MWENGE TANGI BOVU HAKUNA UMEME.VIPI ULIPO UKO
Wacha wongo nipo wanyama hotel hapa tangu saa 12 jioni umeme mwingi tu kaka Kheeeeeeeeeeee [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
H
Anaetaka hii stori aje PM maana naona huyu jamaa anawazingua.
ahahaha mm nazingua na nini.harafu ww inaonekana ni mbinafsi.yawezekana wewe ulianza kuisoma hapa jf.why mpaka watu wakufuate PM kwanini usiibwage gapa mkuu.lengo na kiu za wadau zikatike.
 
H
ahahaha mm nazingua na nini.harafu ww inaonekana ni mbinafsi.yawezekana wewe ulianza kuisoma hapa jf.why mpaka watu wakufuate PM kwanini usiibwage gapa mkuu.lengo na kiu za wadau zikatike.
VIP umeme baado tu,au luku imeisha [emoji1]
 
DAAA HAKUNA JINSI HAPA ITABIDI KUSUBILI TUU UMEME UMEKATIKA YAWEZEKANA NI MAENEO MENGI YA JIJI SINZA MWENGE TANGI BOVU HAKUNA UMEME.VIPI ULIPO UKO
Usijali mkuu,psychologically tulishajiandaa tayari[emoji16][emoji16]tuko vizuri[emoji16] umeme ukirudi we mwaga maji barazani tuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duhhhh LEGE umeme ulikatika tena nn[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahaa inaoneka Mkuu LEGE umeme ulivyorudi alifurahi mpaka akazi100 [emoji33][emoji33][emoji33]
 
Back
Top Bottom