QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Kuna kipindi nilishikwa na arosto, kama ingekuwa ni cha mwanamke siku napata ninge mwaga jaba[emoji23][emoji23][emoji23] all in all asanteni sana wote mlio tuletea hii story, ina mengi ya kujifunza sana , hata wale wa screen shot asanteni[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila wasomaji tupunguze lawama, mtu hulipii wala hujawai hata kulike hata episode moja lakini unavyo jamba mapovu sasa, tuweni na subira. [emoji123][emoji188]

driller⛏⚒
 
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
[emoji120] shukran , kiukweli tumeinjoy sanaaaa,, japo kuna watu walitaka kuharibu,

[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]

n0 r0se with0ut th0rn
 
Kwa wale ambao tulikuwa tunamuunga mkono mwandishi ametuzawadia Riwaya nyingine Kama shukrani kwake ...
Moto balaa hiyo inaitwa..
I DIED TO SAVE PRESIDENT..
 
Shukurani za dhati kwenu mlifanikisha burudani hii kutufikia.

Lakini pia tumkumbuke mwandishi kwa kuthamini kazi yake ni vyema tukamchangia.
 
Mbududa ubarikiwe sana na lege ubarikiwe sana jaman kwa kutuletea huku queen monika na kutumalizia salama
 
Kwanza nitoe pongezi kwa mtunzi wa hii riwaya hakika ana kipaji kikubwa, pili pongezi kwa LEGE kwa kutuletea story bila kuombwa na mtu yoyote lakini nikupe pole kwa udhia ulio kuwa unapatwa kutoka kwa wasomaji wasiokuwa wastaarabu, pia shukrani kwa nemesis na mbududa kwa kuhakikisha mnatupa burudani pale Lege alipozidiwa na majukumu, mwisho hingereni wasomaji wote ila tusisite kuwasapoti waandishi wetu kwa kuwachangia kidogo tunachijaliwa.
 
Back
Top Bottom