QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Lege tupia nimekuwa mgonjwa wa hii story ...mm napenda zaidi story za ujasusi .kuna vifo vinafata huko either mke wa rais au hao mawaziri waliofukuzwa kazi
 
Shukran lege.

Ukipata tena muda tafadhali utupie za kutosha
 
Nasubiri nione reaction ya Rais Ernest siku akijua Zumo ni mkwe wake[emoji3][emoji3]
 
safi lege...naonaisa vinazaana tuu...
marria anakuja bongo kimyakimya...kumbe alitoa msaada kimyakimya kwa austin alikuwa na lake..ni lipi..??..marcelo nae anaamini aweza mpa kazi austin amsaidie...!!..naisubiri siku monica atakapokwenda kuonana na marcelo nyumbani kwa austin...!!.kumbukeni kwamba presdaa mukasa hataki uwepo uhusiano wa monica na zumo... maana aligusiwa na janeth....
na zumo ndio haelewi na ahambiwi lolote kwa monica...
ila nimewamiss wazazi wa monica.......
 
Me mwenyewe nimewams sana wazazi na monica[emoji17]
 
Lege leta vitu nimerud hom baada ya kujaribu kwenda job nikaaa folen zaid ya masaa matano bila mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…