QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

LEGE usituangushe mkuu.
Fanya utuwekee mpaka season ya 3.
Ukituweke kila wikend season 1 au nusu itakua poa sana, kila mtu ajipimie mwenyewe...
 
Mwaka huu aseee tutakufa,
Trust me; haya ni madhara ya vitu vya bure[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Mpaka nimefikia hii hatua siwafichi nishawaza sanaa, kila muda nanunua tu bando mwisho wa siku tunafiemo LEGE hajaweka,

Mpaka sasa gharama ya mb ninazopoteza kumfuatilia mtu asiye na huruma
Ama kwa sababu zilizoinje ya uwezo wake, ama kwa kujua tuu watu hatuna cha kufanya kwani kwanza huduma yetu yenyewe ni buree.

Lakini kuna huduma za bure ambazo zikitolewa kwa staili hii wengi tunaadhirika, mfano kuvuta hewa, huwa tunavuta buree lakini ni ya uhakika.

Lakini kuwa wapenzi wa mtangazaji, hua tunapewa na fasi ya kuwa wapenzi wa mtazamaji bula malipo yoyote,
Vile vile

LEGE ULIAMUA KWA MOYO WAKO WA BURE KUTUPA HUDUMA HII BURE BASI USITUNYANYASI KWA KIZINGIZIO AU SABABU YOYOTE ILE.

NI bora ungetuambia kuwa huduma hii itabidi turipie ili uiweke katika moja ya majukumu yako ambayo unadai yanakubana mpaka kutufanya sisi utuone hatufai na hatuko katika sehemu ya majukumu yako.

Ki ukweli, niseme ukweli nimeumia mnooo na nadhani wengi wao wanaumia lakini wanashindwa kuongea kwa kuwa huduma yenyewe ni ya bure, mimi nimewawakilisha.

Ni bora ungetuchaji tukalipia ikawa kama sehemu ya majukumu yako,
Nimeumia mnoooooo na tunaumia wengi, kama unamajukumu ni bora tuu usingetuanzushia huduma hii

Nimeongea haya ili kuondoa kinyongo changu kwako
 
kweli umetoa ya moyoni
 
Mkuu hiki ndio nilikuwa nakiwaza, asante kwa kuliongea hili!

Mkuu lege aweke wazi kama story tuilipie tu maana hakuna namna!
 
pole sana mkuu lakini lait ungejua hakika usingenilaum kwa kiwango hicho cha lami.hata mm pia ni mwadhirika kama ww tuu na chochote nikipatacho huwa na penda kushare nanyi hata kama mm nakilipia ninyi mtakipata buree. mkuu huwezi amini mm nilishawahi toka dar to moro kwenda tuu kusoma kitabu cha KIKOSI CHA KISASI cha msiba baada ya kukitafuta sana kuna mtu akanambia kipo moro anacho na haazimishi zaidi ya kusomea hukohuko tena hapo hapo nyumbani kwake.

najua nikiasi gani mnaumia lakini mkuu sifanyi kusudi ukitaka uipate hii story kwa kulipia ipo lakini kumbuka huko wanakolipia ni biashara ambayo mtu anaifanya na ada nikwa wiki na mpaka now hata season ya kwanza hawajaimaliza na kwa wiki zinawekwa sehem mbili tuu.lkn JF ni free na mzigo unaupata kwa kiasi kikubwa sana kwa siku mnaweza pata hata sehemu 10.

yaani kma mnamaumivu ni bora mbakinayo hapa hapa jf yana afadhali kuliko huko kibaya ni kuwa labda hapa hakuna ratiba maalum nipatapo chansi natupia lkn kama mtataka tuweke ratiba pendekezeni nyie basi kma kwa wiki mara moja au mbili sawa na ni lini na lini?? ili kutoa dukuduku zenu na mioyo yenu ifarijike.

mm naona ni bora tuendelee kuvumiliana na soon mambo yatakuwa sawa .na kibaya zaidi kazi zangu nitofauti kabisa some times nakuwa sipati mda wa kushika hata simu.kwa wanaonifaham wanalifaham hili ndio maana some times nafika home saa 6 usiku au 7 nawasha pc naangalia vyovyote inavyofaa natupia japo vijisehem viwili vitatu

NAJUA UTAMU WA STORY UMEKOLEA NA KUFIKA PENYEWE .
 
Mkuu hiki ndio nilikuwa nakiwaza, asante kwa kuliongea hili!

Mkuu lege aweke wazi kama story tuilipie tu maana hakuna namna!
mkuu kama wataka kulipia hakuna shida utapewa utaratibu lkn huko kwa kulipia hata season 1 bado hawajaimaliza na huku mnalalamika bure mm nikipata nafasi huwa natupia hata sehem 10 inamaana ukienda kwenye group hizo ni wiki 5 inamaana ni mwezi mmoja na wiki wakati hapa jf unasoma kwa siku moja.njoo PM nikupe contact za kujiunga kwenye group hilo mkuu
 
SEHEMU YA 101

aa tano kasoro dakika saba Austin
aliwasili zilipo ofisi za kampuni ya kubuni
mavazi inayomilikiwa na Monica
mwamsole.Lilikuwa ni jengo zuri lenye
madhari ya kuvutia mno.Alifunguliwa geti
akaingia ndani na kuelekea sehemu ya
maegesho.Katika bustani nzuri baadhi ya
warembo walikuwa wanapiga picha za
mitindo mbali mbali ya mavazi
yaliyobuniwa na wabunifu mahiri wa
kampuni hii.
“ Wow ! what a paradise ! akasema
Austin kwa sauti ndogo akiwa ndani ya
gari
“ Sehemu nzuri ,watoto wazuri yaani
kila kitu hapa ni kizuri.” Akawaza
Baadhi ya warembo waligeuza
shingo zao kulitazama gari lile la kifahari
alilokuwa nalo Austin.Alijitazama katika
kioo cha gari akachukua uturi akajipulizia
na kutabasamu
“ Get ready Monica I’m coming for
you” akawaza na kufungua mlango wa gari
akashuka.Austin alikuwa amependeza
kupita maelezo.Mara tu aliposhuka garini
akaangaza angaza pande zote kisha
taratibu akafuata kibao kilichoelekeza
sehemu ya mapokezi.Kwa sekunde kadhaa
zoezi la upigaji picha lililokuwa
likiendelea bustanini lilionekana
kusimama kwani kila mtu aligeuka
kumtazama Austin.Hakuwajali akaendelea
kupiga hatua kuelekea mapokezi ambako
aliwakuta akina dada wawili warembo
wenye nyuso changamfu.Akawasalimu
wakamuitikia kwa ukarimu mkubwa na
kumkaribisha ,akawaeleza shida
iliyompeleka pale
“ Samahani kaka,Monica amepata
dharura amesafiri na hatuna uhakika
atarudi lini lakini yupo msaidizi wake
ambaye hufanya shughuli zote za Monica
akiwa hayupo.Ukimuona huyo ni sawa na
kuonana na Monica” akasema msichana
Yule wa mapokezi
Austin akapeleka kuonanana Linah
msaidizi wa Monica.
“ karibu sana kaka ,mimi naitwa
Linah ni msaidizi wa Monica ” akasma
Linah
“ Nafurahi kukufahau Linah.Mimi
naitwa Austin.Ni mkurugenzi wa utawala
na fedha wa kampuni ya A.A Safaris.Hii ni
kampuni ya utalii inayomilikiwa na
mtanzania lakini makao yake makuu yako
nchini Afrika kusini ila hivi karibuni tuna
mpango wa kufungua ofisi hapa nyumbani
Tanzania”akasema Austin
“ Karibu sana Austin.Tunafurahi
umetutembelea ofisini kwetu” akasema
Linah
“ Ahsante Linah.Kilichonileta hapa
kwenu leo ni kwamba kampuni yetu
imekuwa ikisaidia miradi mbali ya kijamii
na tunalenga sana jamii masikini.Baada ya
kufanya utafiti tumegundua kwamba
mnayo taasisi ambayo inajishughulisha na
miradi ya kijamii hivyo tukaona itakuwa
vyema endapo tutaungana na taasisi yenu
ili uweza kufikisha mchango wetu kwa
jamii.Kwa hiyo dhumuni la kufika hapa leo
ni kuonana nanyi ili tuzungumze suala hili
na kuona namna tunavyoweza kufanya
kwa pamoja miradi kadhaa ya kijamii”
akasema Austin
“ Austin kweli tunayo taasisi yetu
inayojishughulisha kuwasaidia watoto na
wazee wasiojiweza .lakini kwa bahati
mbaya mimi sina mamlaka yoyote kwa
upande huo.Itakuwa vyema sana endapo
utalizingumza suala hilo na Monica
mwenyewe.Kwa sasa Monica amepata
dharura yuko nje ya nchi utaniachia
mawasiliano yako ili atakapokuja
nikujulishe muonane”
 
SEHEMU YA 102

ini anatarajia kurejea nchini?
“ Sina uhakika ni lini lakini
hatachukua muda mrefu kwani kuna
mradi wa ujenzi wa shule unatarajia
kuanza na anayesubiriwa ni yeye pekee”
“ sawa Linah basi nitakuwa nikifika
hapa mara kwa mara kujua kama
amerudi”
“ Usisumbuke Austin nipe
mawasiliano yako na nitakupigia simu
kukufahamisha
pindi
Monica
atakaporejea”
“ Uhhm !! kwa bahati mbaya bado
sina namba za simu ninayotumia kwa
hapa Tanzania.Japokuwa mimi ni
mtanzania lakini kwa sasa makazi yangu
ni Afrika kusini na tayari nina uraia wa
kule kwa hiyo hapa Tanzania nimekuja
kama mgeni.Naomba unipatie wewe
mawasiliano yako na nitakutafuta “
“ Kwani hapa dar es salaam umefikia
hoteli gani? Akauliza Linah
“ Sijafikia hotelini ,nimefikia kwa
rafiki yangu”
“ Hauna ndugu hapa dar ?
“ Naweza sema kwamba sina
ndugu.Wazazi wangu wamekwisha fariki
kitambo na ndugu yangu niliyezaliwa naye
tumbo moja anaishi nje ya nchi”
“ Pole sana kwa kuwapoteza wazazi
wako “
“ Ahsane sana Linah”
Linah akampatia Austin kadi yake ya
biashara yenye mawasiliano yake na
halafu akaandika namba nyingine ya simu
katika karatasi
“ Hii ni namba yangu binafsi ambayo
unaweza ukanipata muda wowote
.Unaruhusiwa kupiga kwa saa ishirini na
nne”
“ sawa nitafaya hivyo Linah”
Akasema Austin huku akiinuka
“ By the way ,kabla hujaondoka
hutajali endapo nitakuzungusha sehemu
mbali mbali za kampuni yetu ili ufahamu
namna kazi zinavyofanyika hapa?
Akauliza Linah huku akitabasamu.Austin
akakubali na Linah akamzungusha
sehemu mbali mbali za kampuni yao
halafu akamsindikiza hadi kaika
maegesho ya magari
“ Linah nashukuru sana kwa
makaribisho mazuri .Watu wa hapa wote
ni wakarimu sana.Nina imani tutaonana
tena hivi karibuni” akasema Austin
“ Uhhm ! Austin I know you are alone
here so if you need someone to talk to
,someone to hang out with, just give me a
call.I like to hang out with friends”
akasema Linah huku akitabasamu
“ Usijali Linah,nitakapokuwa na
nafasi nitakutafuta .Thanks again” akajibu
Austin na kuingia katika gari lake
akaondoka
“ Umekuwa ni mwanzo mzuri .Ama
kweli kampuni hii imebahatika kuwa na
warembo wasio hata na chembe ya
kasoro.Japokuwa sijabahatika kuonana na
Monica lakini naamini mambo yatakuwa
mazuri kwani Linah ambaye ni mtu wa
karibu na Monica amenionyesha kila dalili
za mafanikio.Linah ni mwanamke mzuri
,amenipokea kwa uchangamfu kana
kwamba
tunafahamiana
muda
refu”akawaza Austin akiwa garini
“ Sifahamu kama ndivyo alivyo au ni
kwangu tu lakini uchangamfu wa Linah
naona kama ulipitiliza .Anaonekana kama
vile kavutiwa na mimi .Natakiwa kuwa
makini sana nisije anguka katika
vishawishi na kujikuta nikimsaliti mpenzi
wangu Maria.” Alipomkumbuka mpenzi
wake akastuka
“ Jana sikuwasiliana na Maria,
naamini alisubiri sana nimpigie ili
anieleze kuhusu safari yake kama
alivyoahidi kwamba baada tu ya
kukamilisha mambo yake atakuja
Tanzania.Maria hatanii katika hili na
lazima atakuja.Siwezi kumruhusu akaja
Tanzania na kuyaweka hatarini maisha
yake.Huku niliko niko katika hatari kubwa
na siko tayari kumuona mwanamke
ninamyependa akiingia katika hatari.Njia
pekee ya kumzuia asije Tanzania ni kwa
kukata mawasiliano naye kwa sasa ili hata
kama ataamua kuja basi hatajua anipate
vipi.Inaniuma sana kumfanyia hivi Maria
lakini sina namna” akawaza
 
SEHEMU YA 103

KINSHASA – DRC
Msafara mrefu wa magari ukiwa
chini ya ulinzi mkali uliwasli katika
uwanja wa ndege wa kimataifa jijini
Kinshasa.Huu ulikuwa ni msafara wa mke
wa rais wa Congo bi Pauline Zumo.Ndani
ya gari la kifahari la mke wa rais
walikuwemo Pauline na Monica.Pauline
alikuwa anamsindikiza Monica uwanja wa
ndege tayari kwa safari ya kurejea Dar es
salaam
“ Monica sipati maneno mazuri ya
kuelezea furaha niliyonayo kwa kuja
kututembelea na kwa yale mambo yote
mazuri tuliyoyafikia.Ahsante sana
Monica.” Akasema Pauline wakati
wakiiingia uwanja wa ndege.Huku
akitabasamu Monica akasema
“ Hata mimi nashukuru sana Pauline
kwa ukarimu wenu mkubwa. Mioyo yenu
imejaa upendo usioelezeka.Siku zote
nitawaweka moyoni mwangu.Ahsanteni
sana”
akasema
Monica.Pauline
akainamisha kichwa kana kwamba kuna
kitu anakifikiri halafu akasema
“ Monica kabla hatujashuka garini
kuna siri nataka nikupe” akasema Pauline
na kutazama Monica kwa makini kwa
sekunde kadhaa akasema
“ Monica jambo nililolifanya la
kumshawishi mwanamke mwenzangu
akubali kuolewa na mume wangu si jambo
rahisi kufanywa na mwanamke yeyote na
nina imani japokuwa umekubali lakini
una maswali mengi unajiuliza ni kwa nini
nimefanya hivi.Pamoja na changamoto zile
zote nilizokueleza awali lakini kuna
sababu nyingine kubwa nyuma yake
ambayo sikuwahi kukueleza” akasema
Pauline na kunyamaza kimya akamtazama
Monica kisha akaendelea
“ Nitakufa hivi karibuni Monica”
“ Nini?..!!! Monica akastuka sana
“ Rudia ulichokisema Pauline”
akasema Monica huku sura yake
ikionyesha mstuko mkubwa
“ Monica tafadhali naomba usistuke
.Nimeona nikueleze ukweli wote
uufahamu.Nitakufa hivi karibuni ,nina
muda mfupi sana wa kuishi hapa
duniani.Ninasumbuliwa na saratani ya
ubongo na kwa mujibu wa madaktari ni
kwamba sehemu kubwa ya ubongo wangu
tayari imekwisha athirika na kwa hiyo
hakuna matibabu yanayoweza kuniponya
tena.Wiki ijayo ninakwenda nchini
Ufaransa kufanyiwa upasuaji mwingine
wa kichwa lakini kwa mujibu wa
madaktari wanasema hawana uhakika
kama nitaamka tena endapo nitafanyiwa
upasuaji huo.Nimeamua tu nifanyiwe
upasuaji huo kwani siwezi kukaa tu
nikisubiri kifo changu,lazima niendelee
kuyapigania maisha yangu.Hakuna ajuaye
pengine unaweza ukatokea muujiza
nikapona.”akasema Puline na kushindwa
kujizuia machozi kumtoka.Monica naye
machozi yakaanza kumporomoka
“ Monica” Pauline akaendelea
“ Monica inawezekana haya yakawa
ni mazungumzo yetu ya mwisho kwani
sina uhakika wa kutoka salama katika
chumba cha upasuaji kwa hiyo endapo
hatutaonana tena tafadhali yazingatie yale
yote tuliyokubaliana.Wewe ni mwanamke
wa pekee kabisa ambaye ninaamini hata
nikifa leo nitakuwa na uhakika kwamba
mwanaume nimpendaye atakuwa katika
mikono salama na atakuwa na furaha.”
“ Pauline...” Monica akataka kusema
kitu lakini Pauline akamzuia
“ Monica najua nimekushtua sana
lakini lazima nikwambie ukweli ili
 
SEHEMU YA 104

ufahamu sababu kubwa ya kusisitiza
uolewe na David.Hivyo nakuomba
usibadili mawazo yako.David ni mtu mzuri
anayejua kupenda na anayejali .Mimi
ndiye niliyemtuma atafute mwanamke wa
kuishi naye baada ya kugundua kwamba
sintakuwa na maisha marefu.Katika
mamilioni ya wanawake wote duniani
amekuona wewe pekee.Narudia tena
kukuomba Monica kubali kuolea na David
kwa moyo mmoja na utakuwa na furaha”
akasema Pauline huku wote wawili
wakitokwa na machozi
“ Tafadhali usilie Pauline.Mambo
hayatakuwa kama unavyohisi.Mungu yuko
nawe na utapona.Endapo mambo
yatakuwa tofauti basi mimi nitaolewa na
David kama tulivyokubaliana lakini
Pauline hupaswi kukata tamaa .Lazima
tupambane kuhakikisha kwa namna
yoyote ile unapona”
Pauline akatabasamu kwa mbali na
kusema
“ Ahsante sana Monica kwa maneno
hayo ya faraja lakini kuhusu kupona
nimemuachia Mungu pekee yeye ndiye
mwamuzi katika hili kwani uwezo wa
wanadamu umefikia kikomo.” Akasema
Pauline wakabaki wanatazamana
“ Monica futa machozi na ujiandae
kwa safari ndege inakusubiri” akasema
Pauline.Wote wawili wakafuta machozi na
kushuka garini.Pauline akamuongoza
Monica wakaingia ndani ya jengo la
uwanja na kuelekea moja kwa moja iliko
ndege ya rais iliyokuwa tayari kwa ajili ya
kumrejesha Monica Tanzania.
“ Monica ni muda wa kuondoka
sasa.Kwa mara nyingine ahsante sana kwa
kuja
nakutakia
kila
la
heri.Ninachokuomba uzidi kuniombea ili
ikimpendeza Mungu tuonane tena lakini
endapo hatutaonana tena yazingatie yale
yote tuliyoongea” akasema Pauline.Macho
ya Monica yakalengwa na machozi
“ Monica tafadhali usiangushe chozi
hata moja.Jikaze na uendelee kutabasamu
hadi utakapoingia ndegeni.Kitu cha
mwisho mambo haya niliyokueleza ni siri
kubwa na hatakiwi mtu yeyote kufahamu”
akasema Pauline huku naye akijlazimisha
kutabasamu.Monica akatoa miwani
myeusi katika mkoba wake akavaa
akakumbatiana na Pauline wakaagana
halafu akaagana pia na watu kadhaa
walioambatana na Pauline akiwemo
Pierre Muyeye na taratibu akaanza
kupanda ngazi kuelekea ndani ya dege hili
kubwa.Alipofika mlangoni akageuka na
kupunga mkono kisha akaingia
ndegeni.Akapelekwa moja kwa moja
katika chumba cha rais na haikuchukua
muda mrefu dege likapaa na kuanza
kuchana anga kuelekea Dar es
salaam.Ilipata saa sita za mchana muda
huo
“ Toka mwanzo nilihisi lazima kuna
sababu iliyomfanya Pauline anisisitize
nikubali kuolewa na David .Kumbe ana
tatizo kubwa namna hii.Nimeumia sana.”
Akawaza Monica na machozi mengi
yakamtoka
“ safari yangu ilikuwa nzuri lakini
imekuja kutibuka mwishoni baada ya
Pauline kunieleza ukweli.Oh my Lord
please save her.She deserve to live.Please
lord don’t let her die this soon”
 
SEHEMU YA 105

DAR ES SALAAM – TANZANIA
Dege la rais wa Congo linalotajwa
kuwa la kipekee kabisa kwa marais wa
Africa ,lilitua katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere saa nane na
nusu za mchana.Wengi wa waliokuwepo
uwanjani walidhani ni rais Davids Zumo
amewasili lakini kwa mshangao wa wengi
aliyeshuka ndani ya dege hilo alikuwa ni
binti malaika mwenye uzuri wa kipekee
anayatajwa kuwa mrembo kuliko wote
Africa,Monica Benedict mwamsole.Kabla
ya kushuka ndegeni,Monica aliwashukuru
wahudumu wa ndege pamoja na marubani
kwa kumfikisha salama akaagana nao
akashuka .
Kisha shuka ndegeni aliingia ndani
ya jengo la uwanja kukamilisha taratibu
halafu akatoka nje ya uwanja na kulakiwa
na
rafikiye
kipenzi
Linah.Wakakumbatiana kwa furaha ,
wakapakia mizigo ya Monica katika gari
na kuondoka uwanjani hapo
“Welcome home Monica” akasema
LInah
“ Thank you Linah” akajibu Monica
“ By the way how are things here?
“ Things are good but I’m so
angry.Nina hasira sana nawe Monica.How
could you do this to me? Unapata safari na
huniagi hata mimi? Nimekukosea nini
Monica? Akahoji Linah
“ Linah najua nimekukosea sana
lakini naomba unisamehe .Kilichotokea ni
kwamaba nilipata safari ya dharura
nikaondoka na hakuna aliyefahamu
kuhusu safari hiyo zaidi ya baba na mama
pekee.Halafu kutokana na unyeti wa safari
yenyewe sikutaka mtu yeyote afahamu
ninakwenda wapi ndiyo maana
sikuwasiliana nawe.Nisamehe sana Linah”
“ NImejiuliza maswali mengi sana
nilipopata simu yako ukaniambia uko
ndani ya ndege unarejea Dar.Monica mimi
na wewe ni zaidi ya marafiki na
hatujawahi kufichana jambo lolote
,imekuaje ukanitenga katika suala hili?
Don’t you trust me anymore?
“ Siyo hivyo Linah.I trust you with my
life.Usijali nitakueleza kila kitu ,wapi
niikwenda na kufanya nini.We have lots to
talk today” akasema
“ Good.I swear I wont forgive you till
you tell me everything” akasema Linah
Safari iliendelea hadi walipofika
nyumbani kwa Monica.Kitu cha kwanza
alichokifanya mara tu baada ya kuingia
chumbani kwake ni kuwasiliana na Daniel.
“ hallow Monica.Welcome home”
akasema Daniel baada ya kupokea simu ya
Monica
“ Ahsante Daniel.Naomba unieleze
anaendeleaje Dr Marcelo? Akauliza
Monica
“ Hujapata habari? Akauliza Daniel
“ habari zipi Daniel? Akauliza Monica
kana kwamba haelewi chochote
kilichotokea.
“ Kuna tatizo lilitokea ambalo hadi
sasa linaumiza vichwa vya watu wengi”
“ Nieleze Daniel ni tatizo gani?
“ Ulitokea mlipuko ambao haukuwa
na madhara katika hospitali aliyokuwa
amelazwa Marcelo na baadae
ikagundulika
kwamba
Marcelo
ametoweka na hajulikani alipo.Jambo hili
limetushangaza sana.Mpaka sasa
hatuelewi ni wapi alipo Marcelo na kama
ni mzima au amekufa
 
Back
Top Bottom