Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sante lege22222299999966666666666
Poa mkuu nimekuelewa, unajua utamu kolea ndio umezidi!mkuu kama wataka kulipia hakuna shida utapewa utaratibu lkn huko kwa kulipia hata season 1 bado hawajaimaliza na huku mnalalamika bure mm nikipata nafasi huwa natupia hata sehem 10 inamaana ukienda kwenye group hizo ni wiki 5 inamaana ni mwezi mmoja na wiki wakati hapa jf unasoma kwa siku moja.njoo PM nikupe contact za kujiunga kwenye group hilo mkuu
Enyewe inawezekana kabisaUtabiri Wangu naona kama unaweza tokea monica kuwa na kachanga ila ni mawazo yangu na uelewa wa mambo Haya
Ha ha haaa, David huyo ni Alberto's! Ndo maana Ernest hataki Monica aolewe naye! Sio ya Paulina nayo kama ina ka ukweli flan hiviPauline sio mke Wa raising David, na inshu ya Kansa ni fake ya kupotea katika scene. Davi atakuwa freemanson sio Burr huyu.
Usiku tayari Bossusiku nitaweka sehemu 5 nyingine kukamilisha 10