QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Story nzuri sana Ila Mkuu tuonee huruma wasomaji wako shusha vitu ili tusisahau tulipotoka
 
ongeza ongeza kidogo mkuu kamekua kafup alafu katamu
 
Kaka skull hata utoe bikira mwenyewe bado lazima usiamini kila ukionacho. Lazima uweke ulinzi Wa kutosha.
 
Sijui kwa nini namuonea wivu Zumo!

[emoji56] [emoji56] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Umetabiri vyema mkuu
Mkuu naona Monica atokutana na Marcelo kwa Austin....
Bali Marcelo ataenda Congo, atafanikiwa Kumtibu Pauline, Pauline Akipona Ndoa ya Zumo na Mornica itabaki story tu......
Ukaribu atakao ujenga Ujenga Austine na Monica utazamisha mapenz yake na mchumba wake.....

Monicca ni wa Austine.
 
Next in QUEEN MONICA.

D Marcelo amuelezea Austin Monica...
Austin atumia mwanya huo kumvaa Moni na kumueleza The Presida...

Lakin nahofia Moni acjekuwa kama Peniela...
Nfff
 
Unajua hapa imefikia patamu sana kwani Mr. President hayupo tayari binti yake aolewe na President David.

Suala la David na Monica likivumbuluka mapema, Marcelo hatapona kupelekwa Congo. Vinginevyo Dr. Marcelo yupo hatarini.
 
Inaonekana lege kaongeaza mke wa pili kwenye peniela jamaa alikuwa fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…