QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Unajua hapa imefikia patamu sana kwani Mr. President hayupo tayari binti yake aolewe na President David.

Suala la David na Monica likivumbuluka mapema, Marcelo hatapona kupelekwa Congo. Vinginevyo Dr. Marcelo yupo hatarini.
bado haijathibitika kama ERNEST ni biological dad wa MONNIE...[emoji1] [emoji1] ..mkuu.!!..ngoja tuone........
 
Monnie lazima aolewe na Zumo ili ilete maana ya jina la hii story
hapana..sio lazima mkuu!!..... kwa utata wa mahusiano baina ya wanaofahamiana na waelekeao kufahamiana...yawezekana pia zumo akabaki na historia tuu..!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…