Sasa wakuu naona huyu harudi tenambere umezingua, nikadhani lege kaibuka
We jamaa mbona unashika kiberit kwwnye nyoyo zilizojaa petroll....Niungeni mguu jamani nivae hizi nguo za huyu ndugu yetu
Mi mwenyewe nimeamua kujifariji kwa kuvaa nguo zakeWe jamaa mbona unashika kiberit kwwnye nyoyo zilizojaa petroll....
Mi mwenyewe nimeamua kujifariji kwa kuvaa nguo zake
Kama unaipenda wewe waweza kuivaa kujifariji
pole mkuu. ntabadiliAcha utoto bhana Badirisha
unajua nilijua legeDear nimevaa nguo za huyu ndugu yangu kwa muda utanipendaaa?
huwa mnasoma wote au unamsimuliaMke wangu ananisumbua kila cku ananiuliza mbona lege haweki hadith tena.. mm nashindwa hata cha kujibu.. plz lege weka bas.. niiponteshe ndoa yngu
hapana mkuu haiwezi kuwa hivyo nipo nje ya dar ndio maana kimyaa but nikirudi naamini sitowaangusha nitakuja na mshindo mkuu nitajitahidi kupost mara 4 or 2 tuu season 3 iwe imekwisha.naamini hamtopata mda wa kukoment zaidi ya kusoma tuu kwa kwenda mbelenakumbuka hata kwa paniela ilianza figisu kimasikhara kama hivi.....mwisho wa siku....ikawa mazima......