The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Asante nimemaliza now ....nasubri season 5 Lege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashasema ukitaka kununua season 1 inauzwa 3000Mkuu lege tuambie basi kama unauza hizo seasons zilizobakia
Basi tununue tumalizie uhondo.
[emoji9][emoji39]
Aiseeee, pongez zako mkuuHahahaha hakuna kupumua hakuna focus wala nini mtajuta kuonja hii mizigo toka kwa patric maana ni mwendo wa bandika bandua.ikiisha hii napindisha mzigo mwingine.
We mwanamke una sura nzuri sijapata ona dunianiTuko mubashara kabisa mzee shisha mzigo tuyajenge
Ndo maana nikasema atupe namna ya kuipata season zote zilizobaki sitaki uhondo unipite hivihivi arosto hii jamani na ingekuwa bashite anatukatisha uhondo huu haki ningegombana naye.[emoji5] [emoji4]Kashasema ukitaka kununua season 1 inauzwa 3000
Kama ulikuwa unamaanisha Mimi, Mimi sina season 5. Pia vipande nilivyoweka nilikuwa ni kwa hisani ya LEGE.Wap nemeles jaman...lege ilo twajua mpk mwakan matumain yetu tuyaweke kwa nemeles sas
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Sawaa mkuuKama ulikuwa unamaanisha Mimi, Mimi sina season 5. Pia vipande nilivyoweka nilikuwa ni kwa hisani ya LEGE.
Jambo jingine hapa, kuna tofauti ya riwaya zinazoletwa na Ibra na wengine. Ibra ni mtunzi yeye mwenyewe. Ndiyo maana NITAKUPATA TU inarushwa kila siku. Hizi zingine ni mpaka watungaji au wanaoleta kwenye blogs zao waweke ndipo nasi tuletewe hapa. Hakuna namna zaidi ya kusubiri au kuzinunua kwenye magroup ya WhatsApp huko.
[emoji86]Kama ulikuwa unamaanisha Mimi, Mimi sina season 5. Pia vipande nilivyoweka nilikuwa ni kwa hisani ya LEGE.
Jambo jingine hapa, kuna tofauti ya riwaya zinazoletwa na Ibra na wengine. Ibra ni mtunzi yeye mwenyewe. Ndiyo maana NITAKUPATA TU inarushwa kila siku. Hizi zingine ni mpaka watungaji au wanaoleta kwenye blogs zao waweke ndipo nasi tuletewe hapa. Hakuna namna zaidi ya kusubiri au kuzinunua kwenye magroup ya WhatsApp huko.
Nipe namba nikanunueKama ulikuwa unamaanisha Mimi, Mimi sina season 5. Pia vipande nilivyoweka nilikuwa ni kwa hisani ya LEGE.
Jambo jingine hapa, kuna tofauti ya riwaya zinazoletwa na Ibra na wengine. Ibra ni mtunzi yeye mwenyewe. Ndiyo maana NITAKUPATA TU inarushwa kila siku. Hizi zingine ni mpaka watungaji au wanaoleta kwenye blogs zao waweke ndipo nasi tuletewe hapa. Hakuna namna zaidi ya kusubiri au kuzinunua kwenye magroup ya WhatsApp huko.
Hizi taarifa umezipata wapi?Wamemremove alikokuwa anatoa story
Tulikuwa group mojaHizi taarifa umezipata wapi?