QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Ndo maana sipendagi kusoma story ambazo mwisho wake unasuasua arosto tupu. [emoji15]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hakuna mastori ya kijinga kama "machombezo" huko unaweza kuambiwa MTU kageuka helicopter au jini ameruka hadi Ulaya. Too much falsification.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu kama kuna mtu anayo riwaya hii atupie au tufanye kuwasiliana
 
Nazani wiki hii mambo yatakuwa powa.

Mwanzo nilikuwa naweka taratibu kidogo kidogo ili kubalance alosto lakini wadau mkawa mnalalamika sana.mm nilikuwa nafanya vile kwa maana ya kutopata pumziko la mda mrefu sanaaa.
 
Back
Top Bottom