Lissu nae aliwahi kusema kuwa ACT sio chama cha upinzani,Zitto na Mama Anna Mghwila sio wapinzani ni kwamba walikuwa walitumika tu na serikali kuvuruga upinzani na kupambana na Lowassa ile 2015. Ila sasa huyohuyo Lissu anamuunga mkono mgombea wa urais Zanzibar chama cha ACT.