Queen Sendiga, kuingizwa kwenye pochi inakuwaje?

Queen Sendiga, kuingizwa kwenye pochi inakuwaje?

Kuna mmoja wa ccm nilikuwa nambatua akashindwa kwenye kura za maoni,angeshinda na kuwa mheshimiwa ningekula sana bata
 
View attachment 2245689

Katika Utawala bora ni pamoja na proper and official communication skills.

Kiongozi kuhamaki hadharani ni dalili ya weaknes, hatutakiwi kuwa emotional.

Ni kweli wakati mwingine subordinates wako wanaweza kukuongopea kwa maslahi binafsi, lakini kiongozi aliyewiva bado atakuwa cool and composed.

Sasa Mkuu wa Mkoa anataka kumweka mtu kwenye pochi yake! Hii imekaaje tena kiutawala?

Na ni pochi ipi hiyo?
Mtu anaongea na mtumishi wa serikali kama anaongea na houseboy au house girl wake.
Is this right?
 
True!
Lakini katika standing orders zihusuzo communication between Govt officials , hii inaruhusiwa?
Hizo communication between Govt offials ndo zinachelewesha maendeleo.
Wape ukweli acha kupamba pamba maneno.
 
Hizo communication between Govt offials ndo zinachelewesha maendeleo.
Wape ukweli acha kupamba pamba maneno.
Maendeleo ni pamoja na watu kutodharauliana na kunyanyaswa kazini.
Nikikwambia usije na mawazo ya mavi yako nafikiri wewe utafurahia tu.
 
Back
Top Bottom