mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Huyu mama nimepata bahati ya kusikiliza Sera zake nikaona ni mtu makini na mwenye future katika siasa za Tanzania ila tatizo chama anachotoka cha ADC ya Hamad rashid kimekaaa kiunafiki unafiki.
Tofauti na viongozi wake wa huko visiwani ambapo adui yao mkubwa ni maalimu lakini mama Queen yeye adui yake ni CCM
Hivyo ni lazima ADC Party baada ya uchaguzi wamkabidhi bi mkubwa chama maana amejitolea sana kazunguka sehem kubwa ya nchi sawa na CUF Habari ya Profesa
Pia soma
> Uchaguzi 2020 - Queen Sendiga ajitokeza kuwania Urais wa JMT kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC)
> Uchaguzi 2020 - Queen Sendiga asema atampa Dkt. Magufuli Uwaziri wa Ujenzi endapo atashinda Urais