Queen Sendiga: RC wa Manyara Mwanamke wa Shoka wewe unafaa uje kuongoza Dar

Queen Sendiga: RC wa Manyara Mwanamke wa Shoka wewe unafaa uje kuongoza Dar

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
Mimi Huyu RC namuona tu mitandaoni anavyopambana kuwaletea maendeleo wana MANYARA! Hakika wamebahatika sana!

RV huyu hana hatauda wa kwenda saluni kujipamba yeye anasuka nywele zake 5 mzuka anaingia kazini. huyu anatufaa sana wana DAR ES SALAAM

Hili jiji linataka mtu ambaye atawanyoosha watu bila uoga na anaweza kuwaambia ukweli watendaji pale wanapokosea na kuwachukulia hatua hapohapo bila kupindisha!

Kuongoza Manyara sio kazi ndogo maana huko ni jamii ya wafufgaji ni wakorofi sana.

Mheshimiwa Rais naomba huyu Dada yetu Mlete Dar es salaam atatufaa sana!

Dar ina upotevu mkubwa wa mapato kutokana na majitu malafi yanajielekeza fedha mifukoni mwao. Sendiga atafaa sana kuwakomesha hawa wahuni wa jiji

Dar ina shida nyingi za kutatua ambazo wapiga kelele debe tupu kama chalamila hawafai kuliongoza!
Mhe. RAIS tuletee SENDIGA dar utaona patakavyobadilika kwa mapato haya haya ya ndani bila hata usaidizi wa Serikali

Hebu cheki hapa mfano tu:

View: https://www.tiktok.com/@ongalah26/video/7465296807795395845?
 
Back
Top Bottom