Queen Sendiga: Sijamshikilia huyu dogo Vitus Nkuna

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
"Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna kijana Vitus Nkuna nimemwita ofisini kwangu leo, kutwa nzima nimekuwa nje ya ofisi kwa kikao cha tathimini ya lishe katika ukumbi wa siasa ni kilimo simjui kijana huyo ni taarifa za upotoshaji"- RC Iringa, Sendiga.

Zaidi, soma:

- Kiongozi wa BAVICHA Iringa aitwa ofisi ya RC kwa Mahojiano

Namuona Kwini hapo shavu dodo hilo chigafla. Chezea!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
bavicha kumbe wanafiki sana yaani wanajitahidi kutengeneza taharuki kwa watu makusudi kumbe mtu waowala hakushikiliwa wanakuja mitandaoni kusema kashikiliwa ili tu kuleta taharuki katika jamii wameshindwa kudai katiba wanayotaka sasa wanataka watu wasahau ujinga wao wanaofanya wa katiba maana wameona mama kawa mkali
 
Hapo katiba imeingiaje?......
 
Hutakaa ukue nakuapia! siku zote ni kuandika utumbo tu
 
Mkuu wa mkoa ni ofisi huenda kuna maafisa wa mkoa wake walimshikiria. Be brave dude.
 
Alishikiliwa jana kwa saa tano ila akaachiwa.
 
sassa mbona mkuu wa mkoa anakataa jamani tuache ushabiki maandazi huo
Ushabiki maandazi upi na wewe legeza nati za kichwa mi nakuambia alikamatwa jana na wakamshikilia kwa saa tano we unawaza maandazi tu, haujanywa chai?
 
Ushabiki maandazi upi na wewe legeza nati za kichwa mi nakuambia alikamatwa jana na wakamshikilia kwa saa tano we unawaza maandazi tu, haujanywa chai?
hahaaaa sijanywa chai mkuu, sasa unaweza ukute polisi waliamua tu kumshikilia nyie mnaanza kumzushia mkuu wa mkoa haya kasema hajamshikilia nuie bado mnasema alimshikilia mbona mnakuwa mazwazwa?
 
Namuona Kwini hapo shavu dodo hilo chigafla. Chezea!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ni sehemu ya Wasaliti wa Taifa letu wanaokula KIFISADI kodi zetu,kwa baraka za bi , Chokochoko.
Ndio maana tunaka katiba mpya na ni lazima.
 
hahaaaa sijanywa chai mkuu, sasa unaweza ukute polisi waliamua tu kumshikilia nyie mnaanza kumzushia mkuu wa mkoa haya kasema hajamshikilia nuie bado mnasema alimshikilia mbona mnakuwa mazwazwa?

Hivi unaelewa ninachokueleza lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…