Queen Sendiga: Sijamshikilia huyu dogo Vitus Nkuna

Mh.RC angemshikilia tu huyo POPOMA.....

Wamefanya kosa kumuachia kwani hao jamaa "baavichaa" wanafanya SIASA katika mambo ya kitaalamu....

#KaziIendelee
 
Kama vile magufuli alivyokua analeta siasa kwenye maisha ya watanzania
 
"Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna kijana Vitus Nkuna nimemwita ofisini kwangu leo, kutwa nzima nimekuwa nje ya ofisi kwa kikao cha tathimini ya lishe katika ukumbi wa siasa ni kilimo simjui kijana huyo ni taarifa za upotoshaji"- RC Iringa, Sendiga.

Zaidi, soma:
- Kiongozi wa BAVICHA Iringa aitwa ofisi ya RC kwa Mahojiano

Sawa mwanaccm, unakumbuka lakini awamu ya 5 tuliongozwa na jingaman kichaa la mirembe? Una ushauri gani kwa kikundi chako cha majambazi cha ccm?
 
"Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna kijana Vitus Nkuna nimemwita ofisini kwangu leo, kutwa nzima nimekuwa nje ya ofisi kwa kikao cha tathimini ya lishe katika ukumbi wa siasa ni kilimo simjui kijana huyo ni taarifa za upotoshaji"- RC Iringa, Sendiga.

Zaidi, soma:
- Kiongozi wa BAVICHA Iringa aitwa ofisi ya RC kwa Mahojiano

Taarifa haikusema kuwa kashikiliwa na mkuu wa mkoa bali ilisema kashikiliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa. Labda mkuu wa mkoa anataka kutuambia kuwa ana ule uongozi wa jiwe wa "one man show" kwamba kila kitu ni yeye tu
 
Back
Top Bottom