From dusk till dawnDusk to Dawn
Hapana chezea kitu KILL BILL maza fantaHuyu jamaa anajua sana. Style yake ni ya kipekee sana.
Namkubaligi jinsi anavyokuza mambo. Unakuta kakitu kadogo lakini watu watakajadili kirefu. Pia movie zake hazitabiriki na zina violence za kutisha.
Nilikuwa naangalia Once upon a time in hollywood nikasema "afadhali hii aina violence za kikatili" kufika mwishoni ikabadilika vibaya mno. Movie gani ilikufanya umkubali huyu jamaa? Django unchained, The hateful eight ,Pupl fiction au........
Huwa natizama director wa movie kwanza... Huyo Kamanda ni mwisho!Huyu jamaa anajua sana. Style yake ni ya kipekee sana.
Namkubaligi jinsi anavyokuza mambo. Unakuta kakitu kadogo lakini watu watakajadili kirefu. Pia movie zake hazitabiriki na zina violence za kutisha.
Nilikuwa naangalia Once upon a time in hollywood nikasema "afadhali hii aina violence za kikatili" kufika mwishoni ikabadilika vibaya mno. Movie gani ilikufanya umkubali huyu jamaa? Django unchained, The hateful eight ,Pupl fiction au........
During a press conference in Russia for the film, he defended his take on Lee.Ilikuwaje?
Inawezekana kweli Lee alikuwa arrogant.During a press conference in Russia for the film, he defended his take on Lee.
Mike Moh as Bruce Lee in “Once Upon a Time in Hollywood”. Sony Pictures
Tarantino claimed that Lee was “kind of an arrogant guy.”
The Inglorious Basterds is a Masterpiece.Reservoir dogs
Jackie Brown
Inglourious Basterds
Mpumbavu huyu alimtukana marehemu Bruce
Kwani nilazma ucoment?Ngoja niende Google.. nitarudi 🏃🏃