Question for Great Thinkers

Question for Great Thinkers

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Great thinkers:

The following premises are held to be true.

1. The Constitution of Tanzania was written by a group of few men, who haphazardly drafted the holy document without whatsoever even involving a small minority of Tanganyikans. This document closely followed the preceeding legal documents in use under colonial rule as a British Protectorate.
2. After union with Zanzibar, this document was modified to accommodate the Union. It still remains a mystery whether the Articles of the Union were incorporated in this revamped Constitution. It also remains doubtful whether the Articles of the Union actually exist, and Tanzanians still wonder why this document has been kept hidden from the public. Again, the citizenry of Tanganyikans was never consulted on the drafting of the Constitution of the Union.
3. Both constitutions set the agenda of the structure and formation on how we, Tanganyikans and later Tanzanians, would be ruled. They set the foundation of our British-styled Government, with its political system borrowing heavily from Marxist and Maoist ideologies, whereby under a one-party system, the Chairman of the Party was the absolute supreme leader.
4. As the origins of the Constitution and our form of Government are colonial, thus putting in power African Colonists, and as we were never involved in the drafting of both constitutions, why then...

1. Have we succumbed to the pressures of the same colonial government, into thinking and believing that by participating, this time, drafting of a New Constitution, we will be free?
2. What is stopping us from throwing out this illegal form of government and its sham constitution and forming our own unique and self-styled Government and Constitution?
3. Why have we allowed ourselves into being hoodwinked and believing that what you have signed for is our ticket to our freedom, while the reality is otherwise?
 
Wadau,

Hivi mpaka sasa hakuna aliyetoa comment kuhusu post hii, au mnataka niwadadavulie kwa Kiswahili?
 
"Liking" this post is ok. But refusing to comment on it, is NOT ok. So, please, if you "like" it, please say what you like about it, and if there any shortcomings, please point them out, too! I do ACCEPT constructive criticism.

Are we clear Mashosho, matmafcha and godlove11 ?
 
Last edited by a moderator:
Great thinkers:

The following premises are held to be true.

1. The Constitution of Tanzania was written by a group of few men, who haphazardly drafted the holy document without whatsoever even involving a small minority of Tanganyikans. This document closely followed the preceeding legal documents in use under colonial rule as a British Protectorate.
2. After union with Zanzibar, this document was modified to accommodate the Union. It still remains a mystery whether the Articles of the Union were incorporated in this revamped Constitution. It also remains doubtful whether the Articles of the Union actually exist, and Tanzanians still wonder why this document has been kept hidden from the public. Again, the citizenry of Tanganyikans was never consulted on the drafting of the Constitution of the Union.
3. Both constitutions set the agenda of the structure and formation on how we, Tanganyikans and later Tanzanians, would be ruled. They set the foundation of our British-styled Government, with its political system borrowing heavily from Marxist and Maoist ideologies, whereby under a one-party system, the Chairman of the Party was the absolute supreme leader.
4. As the origins of the Constitution and our form of Government are colonial, thus putting in power African Colonists, and as we were never involved in the drafting of both constitutions, why then...

1. Have we succumbed to the pressures of the same colonial government, into thinking and believing that by participating, this time, drafting of a New Constitution, we will be free?
2. What is stopping us from throwing out this illegal form of government and its sham constitution and forming our own unique and self-styled Government and Constitution?
3. Why have we allowed ourselves into being hoodwinked and believing that what you have signed for is our ticket to our freedom, while the reality is otherwise?
Mimi sijui kizungu, ila vipengele vyako vingi vina makosa na inawezekana watu wengi wenye akili nzuri zaidi ya uwezo wangu hafifu wasichangie kabisa katika thread yako hii. Umeiandika kwa mawazo finyu sana ya mtu asiyeona mambo ya dunia kwa mapana na marefu yake:

(1) Kipengele cha kwanza umechanganya katiba ya Tanganyika na katiba ya Tanzania; watu hawatajua ni katiba ipi unayoongelea katika kipengelea hicho.
(2) Kipengele cha pili umeweka mawazo yako bila kutoa ushahidi pale ulipojiuliza kuwa hujui kama kweli makubaliano ya muungano yaliingia kwenye katiba; ungewasaidia sana wasomaji wako iwapo ungeandika kuwa makubaliano ya muungano yalikuwa ni haya lakini hayakuwekwa kwenye katiba. Iwapo hata hujui makubalinao ya muungano yalikuwa ni nini basi unakuwa unajikosesha hata mamlaka ya kuuliza uhalali wa muungano na katiba hiyo. Halafu pia katika kifungu hicho umechukulia kuwa Katiba ya Tanzania ilitakiwa iamuliwe na watanganyika tu, ukiwasahau wazanzibar.
(3) Kipengele cha tatu umekiaindika kwa mtazamo mfupi sana ukiwa unasahau kuwa sheria zote duniani huandikwa kutokana na vyanzo fulani. Sheria ya ughaidi ilitungwa kutokana na kuwepo kwa ughaidi. Katiba ya nchi huru pia ikiwa ni sheria kuu iliyoandikwa kutokana na chanzo ambacho ni utawala wa ukoloni, na vita baridi ya wakati huo. Hata katiba ya marekani iliandikwa na mtu mmoja tu (James Madison) kulingana na utawala wa kikoloni uliokuwepo wakati huo na ikapitishwa na watu wachace sana kule Philadelphia mwaka 1787. Hakuna kosa lolote katika kuandika katiba kutumia vyanzo hivyo vya kikoloni, na vile vile hakuna tatizo kwa katiba kuandikwa na watu wachacge kwa niaba ya nchi nzima. Hakukuwa na internet, TV, radio au barabara za lami kuhakikisha mawasiliano yatakoyuruhusu watu wengi kuhusika katika mchakato wa katiba kama ilivyo leo. Je ndugu yangu wewe ulitaka katiba ije na mawazo ya kunguka kutoka mbinguni kama Manna ya nabii Mussa ambayo haipatikani tena katika dunia ya leo?
(4) Kipengele cha nne umeorodhesha maswali mengine mazuri wakati mengine hayana msingi. Mbaya zaidi ni kuwa kipengele hiki umekiandika kwa kutumia msingi wa vipengele vitatu vya kwanza ambavyo vyote vina makosa.

Huenda ningekuwa najua kizungu ningekujibu vizuri sana.
 
Kwanza,

Nimeandika kwa lugha ya Kiingereza. Kizungu sio lugha. Ni neno linalotumiwa vibaya mara nyingi. Mfano mzuri wa neno hilo ni kama kusema "Samweli ana mambo ya kizungu sana."

Jifunze lugha mama yako, Kiswahili, kisha jifunze Kiingereza. Hapo utaweza kujibu hoja zangu kwa ufasaha.

Pili,

Kwa faida ya wale ambao hawaijui vizuri lugha hii ya kigeni ya Kiingereza, nimeitafsiri mada hii kwa lugha ya Kiswahili. Ukienda kwenye Jukwaa la Siasa utaikuta.

Kila la heri.
 
Achana na mambo ya lugha kwa vile ulitakiwa uone wazi kuwa sina matatizo kabisa na lugha hiyo ukishasoma majibu yangu ya msingi kuhusu mada yako ulioandika kwa kiingereza. Nimebahatika kuweza kuongea kwa ufasaha sana lugha zaidi ya saba nikichanganya lugha tatu za kibantu, na ninatumia kiingereza katika maisha yangu ya kila siku. Jambo la muhimu siyo lugha uliyotumia bali ni ufinyu wa mada yako ambao nimeunyonesha kipengele kwa kipengele. Ni wewe mwenyewe uliyeanza kuulizia kuhusu lugha uliyotumia badala ya mada yenyewe na nikaona nikujulishe mapema kuwa tatizo halikuwa kwenye lugha.

Halafu mama yangu siyo mswahili, ila sitajibu upungufu uliyomo kwenye statement yako uliyopost hapo juu kuhusiana na lugha ya mama yangu. Jifunze kuwa ukitaka kujadili mambo ya mantiki, ni lazima na wewe mwenyewe uwe na mantiki.
 
Nimesema "lugha mama", sijasema "lugha ya mama". Tofautisha. Sawa, hata Kiswahili si "lugha mama" yako, lakini inatazamwa kuwa "lugha mama" kwa Watanzania wengi, japokuwa tuna lugha zetu za asili.

Kama tatizo haliko kwenye lugha, basi hujanielewa kabisa. Nitazijibu hoja zako pindi nipatapo nafasi muafaka. Lakini nitajibu kwa kile nilichokiandika, si kile ulichokiandika wewe.
 
Back
Top Bottom