Quick Rocka Awaacha Watu Midomo Wazi kwa Kumshika Makalio Rachel Wa THT

Quick Rocka Awaacha Watu Midomo Wazi kwa Kumshika Makalio Rachel Wa THT

kashazoea huyo..quick ndo tabia yake toka tunasoma nae shule. penda sana kalio huyu arif.
 
sasa huyo mshikwaji mwenyewe naona kakibinua kabisa kishuzi tayari kwa kushikwa au kubambiwa si watu wa pwani tunaita kukobea.........hapo ni sawa tu
 
Si swa cz jamii inawaangalia aje kma wao ndio kio cha jamii wanafanya nn???????????
 
Sasa cha ajabu nini angekuwa dume ndio ingekuwa tabu sana ila kama Rachel alimwambia alishike coz huo mbinuo?
 
kashazoea huyo..quick ndo tabia yake toka tunasoma nae shule. penda sana kalio huyu arif.
acha zako unamsingizia dogo bana na mjua dogo sio wa makalio kiivyo ilitokea tu pozi
 
Huyo Recho na Linah wanapenda sana kujibinua sijui wanatoa ule mtandao wa fesibuku ya kiswahili bure?
 
Na hapo katusitiliii mbonaaa maana wanapendwa kushikwa shikwaaa tu hovyoooo
 
Back
Top Bottom