TabletFellow JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 918 Reaction score 272 Jul 25, 2011 #1 Wakuu hivi ni dawa gani inaweza kusaidia kuondoa matiti kwa wanaume?? maana naona ni tatizo linaloongezeka kwa kasi sana na sioni research nyingi zikisuggest njia ya haraka ya kuondoa (apart from surgery?)
Wakuu hivi ni dawa gani inaweza kusaidia kuondoa matiti kwa wanaume?? maana naona ni tatizo linaloongezeka kwa kasi sana na sioni research nyingi zikisuggest njia ya haraka ya kuondoa (apart from surgery?)