TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 272
Wakuu hivi ni dawa gani inaweza kusaidia kuondoa matiti kwa wanaume?? maana naona ni tatizo linaloongezeka kwa kasi sana na sioni research nyingi zikisuggest njia ya haraka ya kuondoa (apart from surgery?)