Dim Ray
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 320
- 249
Habari zenu wana jf ,imani yangu ni kwamba mko na afya njema.
Leo katika kuchimbua chimbua store yangu ya movies,nimeitazama filamu ya Sarafina.
Nimekutana na msemo fikirishi wa mwalimu wa shule ya Sarafina Mary Masambuka it reads " I hate the killing ,I hate the violence but I can not stand aside and let others die for me,I'll fight too"