Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwanini Sarafina aliambiwa aitupe ile bunduki ?you.......... Come ( the last sentence the students heard from that man ,when Mrs Masumbuko was taken to a secret death)
Ninayo hiyo movieNatafuta muvie ya sarafine ila ambayo ni ndefu. Maana hii ya sasa ni tofauti na niliyokuwa naangalia miaka ya 90. Iwe na kile kipande wanachoimba kanisani, pia kuna kile kipande jamaa anakanyaga misosi juu ya meza. Na pia wapo darasani wanaimba wimbo Bringback Nelson Mandela.
Nitatoa Dau nono kwa mwenye nayo hii kitu ili anipe niwaoneshe watoto wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
This is an act of mindless vandalism! It is madness! If anyone here is responsible for this, I want to say this to you why don't you blow up your own brains? Go ahead! It's no different, the schools are your only chance, if you don't want education, do not come to school, burn the schools and you have no future, if anyone is responsible for this, you all crazy, I don't understand you, I don't like what you're doing and I want it to stop, All right?!.
HahahahhaahhahahaahahNakumbuka hii movie kuna jamaa mmoja alimwambia SARAFINA hivi÷
"Hey sarafina dela bila tako hakika wewe ni nabii Tito "
Nukuu
Their violence led them into this pathetic condition they are experiencing currentlyAliwaambia ukweli na hiki ndio kinaliangamiza lile Taifa, walikataa Elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo sarafina part 2Guys natafuta muvie ya sarafina ile extended ambayo wanaimba kanisani. Nitatoa dau lefu
Sent using Jamii Forums mobile app
gotchaMwalimu alijua wataipekua nyumba yake , so it was safer getting rid of the gun than entertaining its presence
NinayoNatafuta muvie ya sarafine ila ambayo ni ndefu. Maana hii ya sasa ni tofauti na niliyokuwa naangalia miaka ya 90. Iwe na kile kipande wanachoimba kanisani, pia kuna kile kipande jamaa anakanyaga misosi juu ya meza. Na pia wapo darasani wanaimba wimbo Bringback Nelson Mandela.
Nitatoa Dau nono kwa mwenye nayo hii kitu ili anipe niwaoneshe watoto wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
The funeral speech was very emotional
"They fear you because you are young, they fear you because you are the future. How fearful they must be that they shoot you children. How powerful you must be that they fear you so much. You are powerful because you are the generation that will be free. The violence, the beatings, the torture, the killings, all this is the birth pain of our free nation. Please God may I live to see it. But if I don't, I see it now on your faces like the light of the rising sun. And my heart leaps within me as if I too was young again. And I know, oh yes! I know that freedom is coming tomorrow....
Here our children rest in peace.
Ashes to ashes, dust to dust."