Quotations za Kiranga wa JamiiForums

Si useme huelewi?
Ni stupidity kujaribu kuelewa vitu visivyo na tija.

Albert Einstein "There are only two infinite things in this world;Universe & Stupidity and am not very sure about the former "
 
Kiranga ni ana psychological problem.

Huchelewi kusikia keshokutwa anatembea na makopo barabarani
 
Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.[HASHTAG]#kiranga[/HASHTAG]
Hii nimeielewa sasa.
 
Wanadamu ndio waliomuumba Mungu vichwani mwao baada ya kukosa majibu ya baadhi ya vitu.

Mjadala uishie hapa tafadhali!
 
Aliyejibiwa hivi natamani kuona alireply nini!.
Lakini Kiranga ana comments nyingi ukiacha za dini mbona sijaziona, katafute ule mjadala aliopambanishwa na mkulima!..
 
Hahahahaaaa.

Imebidi nicheke tu.

Nashukuru mnafuatilia.

Ila nawasihi, msije kuanzisha dini tu na kuchukua nukuu kuziweka katika kitabu cha "Maneno na Matendo ya Mtume Kiranga".

Asante.
 
Keshokutwa mbali sana.

Leo hii nimesukuma kopo kubwa sana la Mjerumani barabarani.

Linaitwa BMW X5.

Hahaaaaaaaaaaa!!!
Wewe unadhani hii universe na vitu vyote vilivyopo vimetoka from nowhere?

Wewe c kichaa kabisa?? ... Unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Mimi nipo tayari kukulipia gharama zote kwa doctor wa saikolojia..
 
Wewe unadhani hii universe na vitu vyote vilivyopo vimetoka from nowhere?

Wewe c kichaa kabisa?? ... Unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Mimi nipo tayari kukulipia gharama zote kwa doctor wa saikolojia..
Unaelewa kwamba "from nowhere" is logically self contradicting?

Unaelewa kwamba hata kama vimetoka somewhere, si lazima jibu liwe Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…