Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hapa alitokea jamaa mmoja tu, huu Uzi unajifia kifo cha ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni stupidity kujaribu kuelewa vitu visivyo na tija.Si useme huelewi?
Hii nimeielewa sasa.Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.[HASHTAG]#kiranga[/HASHTAG]
Labda makopo ya kunywea majiKiranga ni ana psychological problem.
Huchelewi kusikia keshokutwa anatembea na makopo barabarani
Lakini Kiranga ana comments nyingi ukiacha za dini mbona sijaziona, katafute ule mjadala aliopambanishwa na mkulima!..21.Umeniambia kwamba nina uwezo mdogo sana. Unaelewa kwamba mimi kuwa na uwezo mdogo-ikiwa ni kweli nina uwezo mdogo sana - ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo? Kwamba, kama angekuwepo, asingeumba viumbe wenye uwezo mdogo sana
Jamaa yupiHapa alitokea jamaa mmoja tu, huu Uzi unajifia kifo cha ghafla
Muuza Karanga wa jf .. Bado hujamjua mkuu ?!Kiranga ndo nani
Keshokutwa mbali sana.Kiranga ni ana psychological problem.
Huchelewi kusikia keshokutwa anatembea na makopo barabarani
Wewe unadhani hii universe na vitu vyote vilivyopo vimetoka from nowhere?Keshokutwa mbali sana.
Leo hii nimesukuma kopo kubwa sana la Mjerumani barabarani.
Linaitwa BMW X5.
Hahaaaaaaaaaaa!!!
Unaelewa kwamba "from nowhere" is logically self contradicting?Wewe unadhani hii universe na vitu vyote vilivyopo vimetoka from nowhere?
Wewe c kichaa kabisa?? ... Unahitaji msaada wa kisaikolojia.
Mimi nipo tayari kukulipia gharama zote kwa doctor wa saikolojia..
Padri Kiranga ni kama mtu aliyechanganyikiwa.Nukuu zake hazina kichwa wala miguu