Elections 2010 Quote of the day: Iq ya dr. Slaa

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
1,093
Reaction score
1,733
Hii hapa imeripotiwa na IPP kutoka Musoma jana.

“Tangold ambayo tulielezwa ni ya serikali ilisajiliwa Mauritius na mmoja wa wanahisa ni Andrew Chenge, lakini tunaambiwa mwenye hisa anaweza kuzimilikisha kwa mke, mtoto au mpwa...hivi mpwa wa serikalini nani,” alihoji Dr. Slaa.

My Take: Huyu jamaa kwa ujenzi wa hoja hajambo. Anajua kusoma reports mbalimbali na kuzikumbuka kwa wakati wake. Msaidizi wa JK aliwahi kuniambia kuwa kinachomponza JK ni kusoma au kusikiliza "Executive Summaries" za ripoti mbalimbali anazoagiza afanyiwe.
 
Afu bado watanzania mnajiuliza mumpigie kura nani....?
Wakati majibu tunayo wazi.....

Goooo Dr. Slaa!!!
 
Na bado tunahitaji waendelee kutuongoza! Au twaweza kugawa madini yetu kwa t-shirt na pilao?
 
Chenge is the government of Tanzania
 
Hii hapa imeripotiwa na IPP kutoka Musoma jana.

“Tangold ambayo tulielezwa ni ya serikali ilisajiliwa Mauritius na mmoja wa wanahisa ni Andrew Chenge, lakini tunaambiwa mwenye hisa anaweza kuzimilikisha kwa mke, mtoto au mpwa...hivi mpwa wa serikalini nani,” alihoji Dr. Slaa.

My Take: Huyu jamaa kwa ujenzi wa hoja hajambo. Anajua kusoma reports mbalimbali na kuzikumbuka kwa wakati wake. Msaidizi wa JK aliwahi kuniambia kuwa kinachomponza JK ni kusoma au kusikiliza "Executive Summaries" za ripoti mbalimbali anazoagiza afanyiwe.
A Genius!!
 
Back
Top Bottom