Quote of the weekend " you will never find justice in the world where criminals makes the laws " by Bob marley

Quote of the weekend " you will never find justice in the world where criminals makes the laws " by Bob marley

Rest in peace Bob Marley. Maneno yako yanaishi hata sasa.
 
Bob alikuwa mwamba sana
Nimesikiliza sana Albam la Exodus...

Huwezi amini alifariki na Miaka 35.
 
Report za CAG zenye kurasa zaidi ya 100 kila mwaka zinaeleza jinsi wizara, taasisi na idara za serikali zinavyofanya uhalifu kwenye pesa ya serikali. Hao viongozi wa nchi wabunge, mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa taasisi na wataalamu wao ndio wahalifu wakuu kwa mujibu wa Taarifa za CAG ndio waandaaji wa miswada ya Sheria ya nchi hii. Kweli Bob Marley alizungumza uhalisia uliopitiliza. Huwezi kuwa na haki kwa Sheria zinazotungwa na wahalifu.
 
Back
Top Bottom