Miss Queen
Member
- Oct 6, 2016
- 75
- 58
Jamaa alikua Genius asiye na shule
Huyu anaonekana alikuwa na quotes za busara kuliko Joti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikua Genius asiye na shule
Huyu anaonekana alikuwa na quotes za busara kuliko Joti
Ndo unajifunza kingereza nini..mpaka unaona maajabu
Kwani kwetu sinapo ni hivo, Zanzibar anaongoza mwenye chache !!!Wenzenu ni kina nani au jamii ya Trump na Amerika yake ambapo mtu anamzidi mwenzake kwa zaidi ya kira mil 2 lakini mwenye kura pungufu ndiye anakuwa rais?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaah Namkmbka Kikwete
~Cmb
Joti mwenye mapembe? [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyu anaonekana alikuwa na quotes za busara kuliko Joti
Zanzibar mwenye chache anazo ngapi na mwenye nyingi ngapi?Kwani kwetu sinapo ni hivo, Zanzibar anaongoza mwenye chache !!!
Hahaaaaaaaa......huwa nafungua video zake you tube nachek chek...sema sipati data za ndani za huyu jamaaa....naishia kusikia tu....mtu mwenye video zake za ndani ndani tofauti na zile za you tube atumwagieuyu jamaa alwai waambia wanajesh na askar waku hivi, " why you need pay while you have a gun" ko askar wakawa wanapora mal za raia. yaan askar anaweza akaingia dukan kwa mhind akachukua sukar, sabun mchele af kasepa. Africa kuna mambo jaman achen tu
Namkumbuka*Ndugu,
Namkmbk unamaanisha nini
Kuna namna tofauti tunatafsiri ukubwa wa ubongo, jamaa huenda alikuwa na ubongo mdogo kama ulivyosema lakini alitumia vizuri ndio maana hadi Leo tunamzungumzia hapa.Alikuwa mojawapo wa wanadamu wenye miili mikubwa lakini akili ndogo kama ubongo wa samaki. alikuwa mfano wa bogus kabisa kabisaaaa. ukimsikiliza anaonyesha picha halisi ya mtu aliyekosa elimu na hajui kama hajui.
Mwenyewe nlitaka kumuuliza ndio utafsir gan huo....Sasa hapo umetafsiri kitu gani?
Leo na wewe umeamua kufanya uchochezi au kuongea ukweli? Kwamba tupo kwenye udikteta...