Qur-an description about the clouds

Suhendra

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
1,625
Reaction score
3,307
Mawingu ni mkusanyiko wa Molekuli au Mvuke fuwele utokanao na maji au kemikali mbalimbali, unaelea angani juu ya uso wa dunia.

Suratul Nur 24:43

Je! Huoni ya kwamba m/mungu huya sukuma mawingu kisha huyaumbatisha, kisha huyafanya mirundi? Basi utaona mvua ikitoka kati yake na huteremsha kutoka juu kwenye mlima.

Ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakae na akamuepusha nayo amtakae, Hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho. Qur-an 24:43


Vimawingu (mirundi ya mawingu) hivi vinapo jiunga pamoja na kujitengeneza kuwa wingu moja kubwa sana

Kuelekea juu kiwima wima (vertically) hali hii husababisha wingu hilo, kujipoza na kwa hali hiyo hutengeneza kitu kinacho itwa (Hail),

Unyevunyevu wa baridi na huwa na maji maji hayo huendelea kukua na kuwa binge kubwa sana, Mfano wa barafu kubwa.

Bonge hilo la unyevu na maji yanapo kuwa mazito sana nguvu ya mvutano husababisha bonge hilo la mchanganyiko wa unyevu na maji uliotengeneza wingu kushuka chini polepole na husababisha mvua.

Pamoja na unyevunyevu Mwezi mungu anaeleza habari hizi katika Qur an.

Aya hiyo baada ya kutaja mawingu na mvua ya maji inazungumzia mvua ya mawe na radi..... " Na huteremka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, .... "


Watafiti wa hali ya hewa wamekuta kuwa mawingu hata Cumulonimbus hufikia kimo cha futi 25,000 mpka 30,000 (mail4.7 hadi 5.7) kama milima,

Kama Qur an ilivyo sema...
" Na huteremka kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe "

Aya hii inaweza kuleta swali.
Kwanini Aya inasema mvua ya mawe? Je, ina maanisha kuwa mvua ya mawe ndicho kipengele kile kinachosemwa na kitabu kiitwacho Meteorology Today juu ya jambo hili
 
Quran ni zaidi ya sayansi.
 
Kitabu kimeandika kuwa,

Mawingu hufanyika kuwa yenye umeme kadri mvua ya mawe inapoanguka kupitia katika eneo ndani ya wingu lenye marine

Yaliyopoozeshwa sana pamoja na fuwele za barafu, inapotokea matone madogo madogo ya maji kugongana na fuwele za barafu,

Buganda mara yanapokutana na kutoa joto fiche ( latent heat) jambo hili hufanya uso jiwe la barafu kuwa na joto zaidi likilinganishwa na fuwele ya barafu zinazolizingira.


Wakati jiwe la barafu linapo kutana na fuwele ya barafu,


Electronics hutiririka kutoka katika kitu cha baridi zaidi kuelekea chenye joto zaidi kwa hiyo, jiwe la barafu kuwa ya chaji hasi.
 
Per Meta AI.

Question.

Does the quran present a scientific theory of cloud formation?

Answer.

The Quran does describe the process of cloud formation and precipitation in several verses, but it's essential to understand the context and limitations of these descriptions.

One of the most commonly cited verses is:

"Have you not seen how God drives clouds, then gathers them together, then piles them up, and then you see rain coming forth from their midst?" (Quran 24:43)

Other relevant verses include:

  • "It is God who sends the winds, and they stir up the clouds, and We drive them to a dead land and give life thereby to the earth after its death." (Quran 35:9)
  • "And We send down from the clouds water pouring forth abundantly, that We may produce thereby corn and herbs and gardens of thick foliage." (Quran 31:10)

While these verses describe the process of cloud formation and precipitation, they do not provide a comprehensive scientific theory. Instead, they offer a poetic and descriptive account of natural phenomena, emphasizing God's role in the process.

From a scientific perspective, the Quran's description of cloud formation can be seen as consistent with some basic principles of meteorology, such as:

1. Cloud formation: Clouds form when water vapor in the air condenses onto particles, like dust or salt.
2. Wind and cloud movement: Winds can drive clouds across the sky, leading to the accumulation of clouds and precipitation.
3. Precipitation: When clouds become saturated with water, precipitation occurs in the form of rain, snow, or hail.

However, the Quran's description does not provide detailed explanations of the underlying scientific mechanisms, such as:

1. Evaporation and condensation processes
2. Atmospheric circulation patterns
3. Cloud microphysics and precipitation mechanisms

In conclusion, while the Quran's description of cloud formation and precipitation is poetic and consistent with some basic principles of meteorology, it does not present a comprehensive scientific theory. The Quran's primary focus is on conveying spiritual and moral messages, rather than providing detailed scientific explanations.
 
Kwamba quran iko desperate kiasi hiki hadi ithibitishwe na ugunduzi wa wanasayansi makafiri?
 
Is there any other scripture of 1400yrs old that can give such scientific process?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…