Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Mawingu ni mkusanyiko wa Molekuli au Mvuke fuwele utokanao na maji au kemikali mbalimbali, unaelea angani juu ya uso wa dunia.
Suratul Nur 24:43
Je! Huoni ya kwamba m/mungu huya sukuma mawingu kisha huyaumbatisha, kisha huyafanya mirundi? Basi utaona mvua ikitoka kati yake na huteremsha kutoka juu kwenye mlima.
Ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakae na akamuepusha nayo amtakae, Hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho. Qur-an 24:43
Vimawingu (mirundi ya mawingu) hivi vinapo jiunga pamoja na kujitengeneza kuwa wingu moja kubwa sana
Kuelekea juu kiwima wima (vertically) hali hii husababisha wingu hilo, kujipoza na kwa hali hiyo hutengeneza kitu kinacho itwa (Hail),
Unyevunyevu wa baridi na huwa na maji maji hayo huendelea kukua na kuwa binge kubwa sana, Mfano wa barafu kubwa.
Bonge hilo la unyevu na maji yanapo kuwa mazito sana nguvu ya mvutano husababisha bonge hilo la mchanganyiko wa unyevu na maji uliotengeneza wingu kushuka chini polepole na husababisha mvua.
Pamoja na unyevunyevu Mwezi mungu anaeleza habari hizi katika Qur an.
Aya hiyo baada ya kutaja mawingu na mvua ya maji inazungumzia mvua ya mawe na radi..... " Na huteremka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, .... "
Watafiti wa hali ya hewa wamekuta kuwa mawingu hata Cumulonimbus hufikia kimo cha futi 25,000 mpka 30,000 (mail4.7 hadi 5.7) kama milima,
Kama Qur an ilivyo sema...
" Na huteremka kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe "
Aya hii inaweza kuleta swali.
Kwanini Aya inasema mvua ya mawe? Je, ina maanisha kuwa mvua ya mawe ndicho kipengele kile kinachosemwa na kitabu kiitwacho Meteorology Today juu ya jambo hili