Ila sayansi ipo kwenye quran tu?Uislam upo toka dunia imeanza mtu wa kwanza kuubwa alikuwa Adam ambae ni muislam
Qur-an ni kitabu cha mwisho na kime kuja kusadikisha vitabu vitatu vilivyo pita vya manabii wengine
Ambavyo ni zaburi, taurati na injili
Hiyo dini ya hindu ume creatiwa na wanadam sio mungu kwanini washindwe kupotosha watakapo ili kuweka mipingano.
Ndio,Ila sayansi ipo kwenye quran tu?
Haipo kwenye zaburi, taurati wala injili?
Divinity ya quran inatetewa na wewe au inajitetea yenyewe?Na wewe una hasira zako tu, unataka ninkifundishe sayansi ni nini definition inao tolewa form one first term, mtaendelea kuumia Qur"an ni devine book kama hutaki kukubali go en hung.
Ndo maana naseme Qur"an ni zaidi ya sayansi ndo divinity ya Qur"an yenyewe mimi nakukmbusha tu.Divinity ya quran inatetewa na wewe au inajitetea yenyewe?
Huyu alidanganywa kuwa alishishiwa,ukweli ni kwamba alikuwa akifundishwa na aliyempa unabii wa mchongo Waraqah bin Nauf,Wee hushangai wakati anaanza misheni yake alizungukwa na wakreli wa kikristo?Sawa, ila hiyo alieshushiwa hakuwahi kusoma wala kuandika aliyajuwaje hayo.?
Huyu alidanganywa kuwa alishishiwa,ukweli ni kwamba alikuwa akifundishwa na aliyempa unabii wa mchongo Waraqah bin Nauf,Wee hushangai wakati anaanza misheni yake alizungukwa na wakreli wa kikristoSawa, ila hiyo alieshushiwa hakuwahi kusoma wala kuandika aliyajuwaje hayo.?
Kabla ya quran hakukuwa na elimu yeyote ya kidunia?Ndo maana naseme Qur"an ni zaidi ya sayansi ndo divinity ya Qur"an yenyewe mimi nakukmbusha tu.
Tuambie wewe ni zipiHuyu alidanganywa kuwa alishishiwa,ukweli ni kwamba alikuwa akifundishwa na aliyempa unabii wa mchongo Waraqah bin Nauf,Wee hushangai wakati anaanza misheni yake alizungukwa na wakreli wa kikristo
Kabla ya quran hakukuwa na elimu yeyote ya kidunia?
Mimi huwa naheshimu sana imani za watu. Kwa sababu hii, kuna muda inabidi nijifanye kuelewa tu.Ndio,
kila nabii alipewa miujiza yake kutokana na watu wake.
Muhammadi muujiza wake ni Qur an ambayo ni sayansi kulingana na maisha yetu ya sasa sayansi ina nafasi kubwa sana kuanzia katika maswala ya internet.
Sio kama Nabii mussa ambae zama zake uchawi ulitamalaki sana
Nabii Issa alikuwa akiponya watu na kufufua walio kufa kwa idhini ya mola wake pia kulingana na zama alizo kuwepo.
Hakuna kitu kimeshushwa uongo wa Muhammad tuuSawa, ila hiyo alieshushiwa hakuwahi kusoma wala kuandika aliyajuwaje hayo.?
Naskia inafundisha pia kumbatoWala hakuna kilicho sahau lika yote yapo hata hiyo internet
Muhammad kaja watu washaelimika kitambooMimi huwa naheshimu sana imani za watu. Kwa sababu hii, kuna muda inabidi nijifanye kuelewa tu.
Acha uongo adamu wap alikuwa muislamu toa ayaaUislam upo toka dunia imeanza mtu wa kwanza kuubwa alikuwa Adam ambae ni muislam
Qur-an ni kitabu cha mwisho na kime kuja kusadikisha vitabu vitatu vilivyo pita vya manabii wengine
Ambavyo ni zaburi, taurati na injili
Hiyo dini ya hindu ume creatiwa na waacha nadam sio mungu kwanini washindwe kupotosha watakapo ili kuweka mipingano.
Qur'an ni uongo wa Mohamedi tyuWala hakuna kilicho sahau lika yote yapo hata hiyo internet
Swali:Adam alizifanya au kutekeleza vipi hizi nguzo??imeanza mtu wa kwanza kuubwa alikuwa Adam ambae ni muislam
Nipe ushahidi kutoka kwenye Quran kwenye haya:Wala hakuna kilicho sahau lika yote yapo hata hiyo internet
Maana ya uislam ni kujisalimisha kwa Allah.Swali:Adam alizifanya au kutekeleza vipi hizi nguzo??
1. The profession of faith (the shahada)
The profession of faith (the shahada) is the most fundamental expression of Islamic beliefs. It simply states that “There is no God but God and Muhammad is his prophet.” It underscores the monotheistic nature of Islam.
2. Daily prayers (salat)
Muslims are expected to pray five times a day.
3. Alms-giving (zakat)
The giving of alms is the third pillar. Although not defined in the Qu’ran, Muslims believe that they are meant to share their wealth with those less fortunate in their community of believers.
4. Fasting during Ramadan (saum)
During the holy month of Ramadan, the ninth month in the Islamic calendar, Muslims are expected to fast from dawn to dusk.
5. Hajj or pilgrimage to Mecca
All Muslims who are able are required to make the pilgrimage to Mecca and the surrounding holy sites at least once in their lives.