Qur-an description about the clouds

Qur-an description about the clouds

Uislam upo toka dunia imeanza mtu wa kwanza kuubwa alikuwa Adam ambae ni muislam

Qur-an ni kitabu cha mwisho na kime kuja kusadikisha vitabu vitatu vilivyo pita vya manabii wengine

Ambavyo ni zaburi, taurati na injili

Hiyo dini ya hindu ume creatiwa na wanadam sio mungu kwanini washindwe kupotosha watakapo ili kuweka mipingano.
Ila sayansi ipo kwenye quran tu?
Haipo kwenye zaburi, taurati wala injili?
 
Ila sayansi ipo kwenye quran tu?
Haipo kwenye zaburi, taurati wala injili?
Ndio,

kila nabii alipewa miujiza yake kutokana na watu wake.

Muhammadi muujiza wake ni Qur an ambayo ni sayansi kulingana na maisha yetu ya sasa sayansi ina nafasi kubwa sana kuanzia katika maswala ya internet.

Sio kama Nabii mussa ambae zama zake uchawi ulitamalaki sana

Nabii Issa alikuwa akiponya watu na kufufua walio kufa kwa idhini ya mola wake pia kulingana na zama alizo kuwepo.
 
Na wewe una hasira zako tu, unataka ninkifundishe sayansi ni nini definition inao tolewa form one first term, mtaendelea kuumia Qur"an ni devine book kama hutaki kukubali go en hung.
Divinity ya quran inatetewa na wewe au inajitetea yenyewe?
 
Sawa, ila hiyo alieshushiwa hakuwahi kusoma wala kuandika aliyajuwaje hayo.?
Huyu alidanganywa kuwa alishishiwa,ukweli ni kwamba alikuwa akifundishwa na aliyempa unabii wa mchongo Waraqah bin Nauf,Wee hushangai wakati anaanza misheni yake alizungukwa na wakreli wa kikristo
Ndo maana naseme Qur"an ni zaidi ya sayansi ndo divinity ya Qur"an yenyewe mimi nakukmbusha tu.
Kabla ya quran hakukuwa na elimu yeyote ya kidunia?
 
Huyu alidanganywa kuwa alishishiwa,ukweli ni kwamba alikuwa akifundishwa na aliyempa unabii wa mchongo Waraqah bin Nauf,Wee hushangai wakati anaanza misheni yake alizungukwa na wakreli wa kikristo

Kabla ya quran hakukuwa na elimu yeyote ya kidunia?
Tuambie wewe ni zipi

Maana hapa twazungumzia sayansi
 
Ndio,

kila nabii alipewa miujiza yake kutokana na watu wake.

Muhammadi muujiza wake ni Qur an ambayo ni sayansi kulingana na maisha yetu ya sasa sayansi ina nafasi kubwa sana kuanzia katika maswala ya internet.

Sio kama Nabii mussa ambae zama zake uchawi ulitamalaki sana

Nabii Issa alikuwa akiponya watu na kufufua walio kufa kwa idhini ya mola wake pia kulingana na zama alizo kuwepo.
Mimi huwa naheshimu sana imani za watu. Kwa sababu hii, kuna muda inabidi nijifanye kuelewa tu.
 
Uislam upo toka dunia imeanza mtu wa kwanza kuubwa alikuwa Adam ambae ni muislam

Qur-an ni kitabu cha mwisho na kime kuja kusadikisha vitabu vitatu vilivyo pita vya manabii wengine

Ambavyo ni zaburi, taurati na injili

Hiyo dini ya hindu ume creatiwa na waacha nadam sio mungu kwanini washindwe kupotosha watakapo ili kuweka mipingano.
Acha uongo adamu wap alikuwa muislamu toa ayaa
 
imeanza mtu wa kwanza kuubwa alikuwa Adam ambae ni muislam
Swali:Adam alizifanya au kutekeleza vipi hizi nguzo??

1. The profession of faith (the shahada)​

The profession of faith (the shahada) is the most fundamental expression of Islamic beliefs. It simply states that “There is no God but God and Muhammad is his prophet.” It underscores the monotheistic nature of Islam.

2. Daily prayers (salat)​

Muslims are expected to pray five times a day.

3. Alms-giving (zakat)​

The giving of alms is the third pillar. Although not defined in the Qu’ran, Muslims believe that they are meant to share their wealth with those less fortunate in their community of believers.

4. Fasting during Ramadan (saum)​

During the holy month of Ramadan, the ninth month in the Islamic calendar, Muslims are expected to fast from dawn to dusk.

5. Hajj or pilgrimage to Mecca​

All Muslims who are able are required to make the pilgrimage to Mecca and the surrounding holy sites at least once in their lives.

Wala hakuna kilicho sahau lika yote yapo hata hiyo internet
Nipe ushahidi kutoka kwenye Quran kwenye haya:

Who Invented the First Computer?​

The concept of a computer dates back to Charles Babbage's mechanical difference and analytical engines, but the first electronic computer was the brainchild of Dr. John Vincent Atanasoff and his graduate student Clifford Berry, resulting in the Atanasoff-Berry Computer (ABC) by 1942.

Who truly invented the Internet?​

The internet was invented through the work of many people, not just one. Some of the key figures were Lawrence Roberts, who proposed and led ARPANET for many years, and Tim Berners-Lee, who invented the World Wide Web

The drone was invented by Abraham Karem in the 1970s and regarded as the founding father of UAV technology.​

Swali:Adam alizifanya au kutekeleza vipi hizi nguzo??

1. The profession of faith (the shahada)​

The profession of faith (the shahada) is the most fundamental expression of Islamic beliefs. It simply states that “There is no God but God and Muhammad is his prophet.” It underscores the monotheistic nature of Islam.

2. Daily prayers (salat)​

Muslims are expected to pray five times a day.

3. Alms-giving (zakat)​

The giving of alms is the third pillar. Although not defined in the Qu’ran, Muslims believe that they are meant to share their wealth with those less fortunate in their community of believers.

4. Fasting during Ramadan (saum)​

During the holy month of Ramadan, the ninth month in the Islamic calendar, Muslims are expected to fast from dawn to dusk.

5. Hajj or pilgrimage to Mecca​

All Muslims who are able are required to make the pilgrimage to Mecca and the surrounding holy sites at least once in their lives.

Maana ya uislam ni kujisalimisha kwa Allah.

Mtu yoyote duniani anazaliwa akiwa muislam hata kama wazazi wake sio waislam baada ya hapo,

Wazazi wake ndio wanaamua kumbatiza na nk. Ili kumuingiza katika dini yao.

Hizo nguzo ulizo zitaja hapo,
hata kabla mtume hajapewa utume hazikuwepo.

Zililetwa taratibu mpaka zika kamilika, kiufupi kila Nabii alikuwa anapewa utaratibu wake wa ibada huu ulioutaja ni wa Muhammad (s,a,w) sio wa Adam.
 
Back
Top Bottom