Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Asikudanganye, hilo andiko lilitoka Wakati wa vita maalum kwa kipindi maalum sio leo.

Unaweza kusema nilichodanganya ni nini? maana mie nimeweka tu hilo andiko bila hata kutia neno lolote ila wewe unasema nadanganya.
 
bora kutapeliwa kuliko, kufanya uasi, kumwaga damu, kubaka, na maovu kedekede kama hayo..!
Lengo si aina ya uovu isome vizuri mada,nachouliza je hao wanaotapeliwa wameshindwa kusoma biblia na kuielewa?

Halafu nenda kasome Hesabu 31:17-18 halafu uje tena tujadili.
 
Acha kupotosha watu wewe! Hilo andiko lilitoka kwa kipindi maalum kwa vita maalum na hicho ni kipande tu ulichokinukuu.
Hoja hapa ni kwamba hiyo haikuwa amri kutoka kwa Mungu?

Na je wewe unaichukuliaje hiyo amri?
 
aisee watu hamuwezi jadili bila kutukanana imani za wenzenu? wengine mnachoropoa mstari tena ukiwa nusu ili kuthibitisha kauli zenu ambazo hata si za kweli
 
Kuwa mwislam ujue kwa nini hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii si tu kwa waislam hata kwa waKisto pia mambo ni kama haya haya tu isipoku kwa waislamu inaangukia kwenye ushawishi wa kufanya vurugu. Huenda wanahisi wanaonewa na jamii zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Je, hivyo vikundi vya kijasusi ni vya kiislamu?
2. Kama hapana kwann wanakubali kushawishiwa nao ikiwa dini ya uislamu haikubali kuungana na watu wasio waislamu?
Unajua watu wengi wamejisahau sana. Watu weng kwa sasa hulinganisha Maovu ya waumini na din yenyewe kitu ambacho siyo kweli. Dini ina watu, katika dini kuna vikundi vidogo vidogo vimeanzishwa hili kuchafua dini.
Je, Uislamu ni ugaidi?
Je, Ukiristo ni ushoga?
Katika maswali haya utapata jibu hapana.
 
Mh mbona hilo kwangu ni jipya sana? Maana ninavyojua mimi kwa mujibu wa maandiko Matakatifu yaani Biblia, kule hakuna kuoa wala kuolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu hili ni zuri saana na nimelipenda kama nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shika neno tenda neno nabii Eria wa kizazi cha NNE Ali paa bagamoyo,, Hehehehee eti wakristo walikuja kazini kwangu kuni taka niingie kwenye iyo dini ya kizazi cha NNE nabii Mtanzania aliyepaa bagamoyo.. Dah nduguzangu wa Tanzania tubadilike tunapoelekea sipo wenzetu wazungu wakorea, Japan wanagundua technology mpya kila siku sisi tunakazana na Makanisa yasiyo na tija..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kitabu (Quran)kisicho na shaka ndani yake na nimuongozo Kwa wamchwao M/mungu ,Quran 3:1
 
Kitabu cha Mungu hakitakiwi kuwa hakieleweki.

Ukiona kitabu hakieleweki ujue hicho si cha mungu na pengine huyo Mungu hayupo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…