Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Mkuu bado upeo wako wa kuangalia mambo kwa upana mdogo unajua kwann nimekwambia hivi? ni kwa sababu hivyo vikund vya kigaid ulivyovitaja wale sio waislam kwa sababu hiyo hiyo Qur an imekanusha wanayofanya kwa hiyo Qur an n ni kitabu kilchokamilika ila binadam hawaja kamilika but anyways fanya tafot zako binafs utaluja ugundue sil ya ugaid ktk hii dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kwamba matendo wanayoyafanya yameruhusiwa kwenye vitabu vyao wameamrishwa kuwatia hofu wasiofungamana na itikadi na imani zao lengo ikiwa kutaka kutawala ili wawanyanyase wanawake vizuri wajiolee hata wanawake hamsini hamsini
Pambana na hali yako mkuu. Acha kuchukulia vitu kwa uelewa wako mdg kama hujui kitu kaa kimya watakuja wenye kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi si mjuzi saana ila nitakujibu kwa hichi nitakacho jaaliwa.

Kwanza nianze na msemo Huu MTI WENYEMATUNDA NDIO ULENGWAO.

Uislam ndio ulovuma na ndio unaopigwa vita zaidi duniani, kwahio mtu yoyote akiwa na jina la kiislam ataitwa muislam hasa akifanya maovu.

lakini kiukweli uislam hauko pamoja na yoyote anaeuwa au anaedhulumu hatakama atakua ni imamu au Sheikh wa msikiti.
Na huyo kama atakufa hajatubia na kupata msamaha wa alowsdhulumu kwanza na Msamaha wa Mwe. Muungu baadae basi atakua ni mtu wa motoni kwa mujibu wa Uislam.

Nikubaliane na wewe kua makundi yanayojinasibisha na uislam na kutumia alama za kiislam ndio yanayofanya maovu na umeyataja hapo kama Matano sita hivi.

Makundi haya mengi yao ukitafuta historia zao utakuta niwatu walikua na sababu zao za kibinafsi,kama visasi,au zakisiasa nk. Lakini baada yakuwepo kwa muda mrefu bila ya mafanikio ndio hujaribu kutumia ushawi kwakutumia uislam ili kupata uungwaji mkono na vijana wa kiislam na baadae yakageuka na kua makundi ya kiislam kama yanavyoitwa, lakini sisahihi.

Lakini mambo haya(majina ya makundi) hukuzwa na yakakua na nchi za kimagharibi na media zao.

Kwasababu tunajua kua kuna makundi ya kihalifu duniani ni makubwa na ni maarufu na memba wake wkaribu wote wana majina yakikristo na wana vaa misalaba shingoni kama wafuasi wa Yesu lakini hawahusishi Ukristo huitwa mageng au maharamia.

Mfano wa makundi hayo Wapiganaji wa Tiger ,Hitla pia aliuwa makundi ya watu miaka ya nyuma,mengineyo kwenye link mbili hapo chini.



BANDIDOS MC - The Offical Website hawa wanauo mpaka web yao wanachaguana viongozi na wanawaita waandishi wa habari kuwajuilisha mipango yao ya chama chao. Kama vile Ccm au Cdm.

List of criminal enterprises, gangs and syndicates - Wikipedia

Makundi haya yanauwa watu kila leo , yanaiba mabenki na kwa watu binafsi.

Wanauza madawa ya kulevya dunia nzima na kuathiri. Afia za vijana wetu na kudumaza maendeleo ya nchi hasa masikini kama Tanzania nk.

Lakini hutasikiapo kua makundi haya maovu ni yakikristo,na mimi binafsi najua kua hawa si wakristo kwasababu hakuna mafundisho hayo kwenye ukiristo ingawa wana misalaba ya thamani kwenye shingo zao. Na pia kabla ya kuingia kuiba anajigonga uso na mambega kuashiria kuamba msaada wa roho mtakatifu na akijikwaa au kukoswa na risasi ya kicha atasema yesu wangu.

Kwahio tukubaliane kua makundi haya yote hayafuati mafundisho ya dini lakini inaweza Ikawa wao wenyewe wanajitambua kua ni wafuasi wa dini fulani .
 
kwanza nikupe pole kwa kutumia fikraa zako kuwaza kitu kibovu katika vitu vibovu ni kheiri ungekaa na kuwaza mapenzi kuliko kuwa ulichokiwa hicho ilibidii ujee kuuliza na sio kutoa thread ambayo haujaletaa prove yoyote .

LUGHA YA QUR AN .
wew ndio hauifahamu ila wanayoisomaa na wanahusika nayoo wanajifahamu na kuielewa pia.

MAKUNDI ;
kwanza unatakiwa urudi darsani kidogo ujuee tofuti ya mujahidina na ahal kitaru pia unatakiwa unapost katika ukurasa wq intelligence basii uwe na mbogo nzurii yaani nashngaa www mpaka leo haujazinduka nakujua nin boko haramu au ISSS au al qaida harafu unapost threads humu why.
Tafuta tafsiri harisi ya hayoo magrouop then utaona nyuma yao kuna nini.
wapo watu wengii wanaotumia dini au alama ya dini kwa aina kupotosha ya wenzaoo mfano muone seneter wa Austalia jana amevaa nikabu na kuingia bungeni ili kushinika ifungiwe ndio dunia ya leo na harakari zakumpoteza muislamu.

ADVICES; Kuna programs ambazo maprogramer wanakuandaa www now na kukuaminishia kuwa dini ya uislamu ni mbaya na now wqshakuchukua 3/4 ya ubongo wako kuamini hili sasa basii watakiwa ubadilikee ili wakishamaliza kukuaminisha kwa waislamu watakuja kwenye dini yako .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume refer andiko gani Mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kwanini waislamu wengi wana tabia ya kujichukulia chini,hawajikubari,hawajiamini!!!!!.


Mimi nilitegemea jibu la hili swali liwe moja tu,kwamba hatujafundishwa kuua MTU,wala kupigana wenyewe.Ila wanaofanya hayo sio waislam wako mbali na uislam,na ili kuweka mambo sawa tunaandamana kuwapinga,kuichafua Quran,sioni haya Ila kojolea msaafu uone balaa.

Badala yake naona mipasho tu humu,Mara wivu,uislam unakuwa,uislam unachafuliwa.

Kwa malengo gani sasa watu wanauchafua????
 
Ni Swali Najiuliza Ni Nchi Gan Ya Dini Yetu Hii Tukufu Cjui Kama Naweza Gugo Nikapata Nchi Ya Dini Hii Halafu Ikose Vita Labda Zanzbar Ambako Kuna Muungano Na Tanganyika Ila Dunia Nzima Hakuna
Siku zote hakuna kitu kisicho na thaman kitakua na purukushan katika nchi zote unazojua we nitajie hata moja ambayo hakuna fitina za nchi za maghrib taja moja tu sio mbili na unajua maana ya neno Uislam unajua kwann jiji hili linaitwa Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magaidi wanatumia Quran :-
AL-Nisa4;101
Wale Wasioamini Ni Maadui Zenu Wakubwa.Vilevile Inasema Katika Sura Ya Al-Tawb9;3
Tangazeni Mapigo Makuu (Ya Ole) Kwa Wasioamini.Pia Al-anfaal8;39
Fanyeni Vita Juu Yao Hadi Kusiwepo Na Mateso Tena Na Hadi Pale Dini Ya Allah Itakapo Tawala.
 
Mkuu mbona wanikebehi wakati nataka kujifunza ili nijue kwa nini makundi yao yafanye vile? Sijatupia thread hii kutafuta dhehebu gani ni bora kuliko jingine.Nakuomba tu tuelimishane vizuri. Nashukuru umegusia machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii mada mi sijibu sana najua ni hasira ya mada iliyosema mbona waisraeli sio wakristo na wanaitwa taifa teule na wakristo.....na records zinaonyesha waisraeli waislamu ni wengi kuliko wakristo ...so mkuu aache hasira akubaliane na ukweli
 
ALLAH WA Waislamu ANAMAADUI AMBAO NI WAKRISTO NA WAYAHUDI Allah wao ana maadui wake ambao ni Wakristo na Wayahudi
Quran. 4:51 na 57 (surat Al Maida)
Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika hao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Ndiyo maana muislamu aliyesoma sana dini anakuwa na chuki na Wakristo au anakuwa mchawi
 
Mkuu ungekuwa Karibu ningekununulia hata soda, ulichooleza ni kweli kabisa.Watu wengi waliotoa comment zao ni mipasho badala ya kutoa elimu ili pengine kupitia humu watu wengi wafunguke zaidi na wajitolee kupinga mambo mabaya yanayofanywa na makundi hayo maovu. Inasikitisha kusikia matendo yanayofanywa na boko haram, IS, Alshabab nk yanatendeka huku akitumia uislam na lakini waislam wamekaa kimyaa tu na wengine hata kutoa ufadhili kama nchi iliyotengwa hivi Karibuni kwa kutoa ufadhili kwa Islamic state.
We need a peaceful world now kuliko dunia ya watu wa kujitoa mhanga kwa kujilipua na kuua watu wasio na hatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo makundi yote uliyoyataja hayahusiani na Uislam wala Qur'an...kabla ya miaka 50 hayakuwepo wakati Uislam upo kabla ya 1400

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kwamba matendo wanayoyafanya yameruhusiwa kwenye vitabu vyao wameamrishwa kuwatia hofu wasiofungamana na itikadi na imani zao lengo ikiwa kutaka kutawala ili wawanyanyase wanawake vizuri wajiolee hata wanawake hamsini hamsini
Acheni kupotosha dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…