Bora kutapeliwa na hao manabii wawe wa uongo ama wa kweli but waumini wote ni watu wapole wenye kusamehe na wasiokuwa na jazba kulinganisha na upande wenu full jazba,kujilipuaaa no upendo no kusamehe dah sidhani kama Quran inaelekeza hizo aiseeInamaana hawa waumini wa kikristo wanaotapeliwa na hawa manabii wa uongo ndiyo tuseme pia biblia imeandikwa lugha isiyoheleweka kiasi cha wakristo kushindwa kuelewa na kujikuta wakiwafuata manabii wa uongo na kutapeliwa?
Halafu mbona Qur'an imetafsriwa hadi kwa kiswahili.
Qur an na uislamu zilipishana wapi na kwa nn?Wapendwa mwanajf, nawasalimia kwa heshima zote!
Wote tuliopo hai duniani leo hii Dini zote tulizikuta zipo baadaye tukaaminishwa na kuamini tulichoambiwa!
Thread hii haitafuti dini IPI bora wala dhehebu lipi bora kuliko jingine.
Quran ni maandiko matakatifu katika imani za kiislam ambacho kuna machache ya yaliyomo katika Agano la kale ndani ya bibilia yamo pia katika quran.
Quran imeandikwa vizuri tu lakini lugha iliyotumika huenda haieleweki kwa wasomaji wengi ndio maana waislam walio wengi ni wepesi sana kushawishika hata kutenda maovu ambayo hata kitabu cha quran hakijayagusia hata chembe.
Jambo hili limekuwa nikinifanye ni waze sana kila mara kwa nini waislam wengi hushawishika kirahisi kutenda maovu hata mara tu wakitoka nje ya jengo la Ibaada?
Kwa nini makundi ya kiharifu yamejaza vijana wengi wa kiislam?
Kwa nini Boko haram hutembea na quran huku wakiendesha mauji holela?
Kwanini kundi la alshabab, Islamic state, alqaida, Abboosafayy, Alnusrrah nk wote hutembea na quran huku wakiendesha mauaji ya holela?
Kitu gani huwafanya waislam watofautiane na kitabu kitakatifu hicho cha Quran?
Tupia jicho mataifa yote ya kiislam utakuta mengi yana vurugu nyingi lakini Quran IPO na husomwa kila Siku.
Je quran imeelekeza kutopenda amani? Au viongozi walioenda masomo zaidi ya kuifahamu Quran ndio wapotoshaji wakubwa kwa waumini waumini wao?
Karibuni tuelimishane vizuri kwa kuepuka lugha chafu ili tusimkosee Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makundi ni 73 mkuuUnajua waislamu wana makundi yapatayo 72 kifupi (madhehebu) kwahiyo mtume ( s.a.w)/alisema kakika makundi hayo yote ni moja tu ndilo la ukweli ndio litakaloingia peponi kwahiyo kila mmoja yeye ndio mkweli mauaji hayataisha kwasababu hakuna wa kumfuata mwenziwe
Sent using Jamii Forums mobile app
1.IndonesiaNi Swali Najiuliza Ni Nchi Gan Ya Dini Yetu Hii Tukufu Cjui Kama Naweza Gugo Nikapata Nchi Ya Dini Hii Halafu Ikose Vita Labda Zanzbar Ambako Kuna Muungano Na Tanganyika Ila Dunia Nzima Hakuna
Juzi tu hapo wakristo walikataa kumzika mkristo mwenzao,sasa huu ndio upendo wa unaofundishwa kwenye biblia?Bora kutapeliwa na hao manabii wawe wa uongo ama wa kweli but waumini wote ni watu wapole wenye kusamehe na wasiokuwa na jazba kulinganisha na upande wenu full jazba,kujilipuaaa no upendo no kusamehe dah sidhani kama Quran inaelekeza hizo aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, but All these countries have dictatorial leaderships on behalf. I consider this as an excuse for their fragile stability.1.Indonesia
2.Brunei
3.Oman
4.Abudhabi
5.Dubai
6.Qatar
7.Saudi Arabia
8.Kuwait
9.Jordan
10.Morocco
11.Mayotte
12.Maldives
13.Algeria
Mmehama kwenye vita sasa udikteta. Sawa, lengo tunalijua, hamtusumbui.Yeah, but All these countries have dictatorial leaderships on behalf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Nani alifika huko akakuta hao mabikra 72! By the way, kama pombe si ni bora ninywe huku huku ninapoiona kuliko huko pa kusadikika!Ukiua kwa kupigania dini unapata haki ya bikra 72 kule juu mbinguni mara baada ya kifo chako kwa wale wafia dini kama hao vijana wa makundi ya kiharamia jamii ya bokoharamu
Huko mbinguni kuna mito ya pombe za kila aina, hivyo vilivyo haramu huku duniani mbinguni ni halali kabisa hii ni kwa mujibu ya Qur'an kitabu kitakatifu
sijakukebehii balii wew umeweka maada na hukuuliza swalii kuna njia za kuuliza swalii na njia kukejerii ....ukitaka kufahamu nenda kwa shekhe mweleze wew unataka kuujua uislamu si dhambi kujifunza dini ya mwenzako ili kuijua.Mkuu mbona wanikebehi wakati nataka kujifunza ili nijue kwa nini makundi yao yafanye vile? Sijatupia thread hii kutafuta dhehebu gani ni bora kuliko jingine.Nakuomba tu tuelimishane vizuri. Nashukuru umegusia machache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu katika maada yangu kuna maswali mengi nimeuliza labda kwa kuwa ulisoma usiku. Lengo kuu la maada hii ni kuona kama kutakuwa na uwezekano wa kuifanya dunia iwe free of ugaidi, free of suicide bombers nksijakukebehii balii wew umeweka maada na hukuuliza swalii kuna njia za kuuliza swalii na njia kukejerii ....ukitaka kufahamu nenda kwa shekhe mweleze wew unataka kuujua uislamu si dhambi kujifunza dini ya mwenzako ili kuijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuelewa Mugabe one. jaribu kumuelewa post namba 117Mmehama kwenye vita sasa udikteta. Sawa, lengo tunalijua, hamtusumbui.
wew hakuna nisichokielewa hapo na nimekupa sana kuwa wew unalenga hautakii uislamu ndio maana unaenda unarudii pale pale kwenye ugaidii na fahamu zako ndogo ile ni nembo tu kuchafuaa dini ya uislamu tu.Mkuu katika maada yangu kuna maswali mengi nimeuliza labda kwa kuwa ulisoma usiku. Lengo kuu la maada hii ni kuona kama kutakuwa na uwezekano wa kuifanya dunia iwe free of ugaidi, free of suicide bombers nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza vizuri sanaaa unahitaji pongezi ila jiulize mambo yafuatayo unadhani vurugu zote zinazoendelea ndani ya mataifa y kiislam husababishwa na nani bila shaka ni mataifa yenye nguvu duniani Eg G7.........Nia yao kubwa ni kuzuia waislam wasijitawale vilevile nia yao nyingine ni kuyateka mafuta ambayo huzalishwa sana katika chi z kiarab
Ok hembu tafakari vmchukua nchi moja y kiarabu mfano syria kwa harakaharaka unadhani kuna majeshi mangapi kutoka nchi z kigeni........Halafu kitu kingine huwezi kulazimisha DEMOCRACY kwny nchi z kiarabu nakumbua nukuu moja y papa fransis aliyosema kwamba mataifa y kizungu yaangalie uhalisia wa mataifa husika kabla y kuingiza DEMOCRACYNamna hii ya kufikiri ndio inayofanya amani isidumu.
Hao wakimbizi wanaokimbilia kwa hao wazungu kutafuta hifadhi, badala ya kupata hifadhi kwenye nchi jirani, inaonyesha kua hao G7 ndio watu wema zaidi. Kwakua hata wakihamia huko, bado Ulaya, MTU mmoja mmoja bado wanafanya kama kilichotokea Hispania jana.
Naelewa unalengo La kuinasua Dini na lawama. But fikiri vizuri zaidi. Manake hao G7 unaowasingizia, it doesn't make sense at all.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kweli ukishika sana dini hii pendwa na akili Inakimbia...Upeo wa mleta mada ni mdogo sana, wacha nikupe somo dogo: dunia haiwezi kuisha mpaka uislam utawale dunia; katika utawala huo ifikie muda ukisahau smart phone yako sehemu yoyote hakuna wakuichukua, sasa harakati za kutawala zinaweza chukua hata miaka elfu tano ijayo na zinaanza taratibu sana kiasi ya kwamba huwezi kuhisi kama kitu flani kinaweza kuwa. Vita vinatokea sehemu ambako waislam wako wengi, then wachache wanahamia ulaya kama wakimbizi, baadaye wanazaliana na kuwa wengi huko ulaya na amerika wanaanza kushika nafasi nyeti baadaye unakuta wametawala ulaya na amerika. Hatimaye dunia nzima, hii kitu inaweza kuchuka miaka mingi sana, wala usiwaze kama dunia inaisha leo au kesho
Sent using Jamii Forums mobile app