Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

ALLAH WA Waislamu ANAMAADUI AMBAO NI WAKRISTO NA WAYAHUDI Allah wao ana maadui wake ambao ni Wakristo na Wayahudi
Quran. 4:51 na 57 (surat Al Maida)
Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika hao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Ndiyo maana muislamu aliyesoma sana dini anakuwa na chuki na Wakristo au anakuwa mchawi
Na mkristo aliyesoma sana biblia anafungua kanisa na kupiga hela.

haha natania tu mkuu.
 
Mkuu ungekuwa Karibu ningekununulia hata soda, ulichooleza ni kweli kabisa.Watu wengi waliotoa comment zao ni mipasho badala ya kutoa elimu ili pengine kupitia humu watu wengi wafunguke zaidi na wajitolee kupinga mambo mabaya yanayofanywa na makundi hayo maovu. Inasikitisha kusikia matendo yanayofanywa na boko haram, IS, Alshabab nk yanatendeka huku akitumia uislam na lakini waislam wamekaa kimyaa tu na wengine hata kutoa ufadhili kama nchi iliyotengwa hivi Karibuni kwa kutoa ufadhili kwa Islamic state.
We need a peaceful world now kuliko dunia ya watu wa kujitoa mhanga kwa kujilipua na kuua watu wasio na hatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanaochukizwa na ugaidi humu ndiyo wengine wanashabikia vita,sasa sijajua kwanini ugaidi uwachukize lakini washabikie ugomvi wa N.korea na Marekani?
 
Swali
Ivi haya makundi ya Siasa kali kama ISIS yakifaniliwa kuiteka dunia na kuitawala,
Hali itakuwaje ?
Naomba jibu.
 
Swali
Ivi haya makundi ya Siasa kali kama ISIS yakifaniliwa kuiteka dunia na kuitawala,
Hali itakuwaje ?
Naomba jibu.
Duh! we unaamini kabisa hayo makundi yana dalili ya kuteka dunia? na unaamini kabisa hao wakubwa wa dunia wamewashindwa?
 
Hakuna anayepotosha dini, viongozi wa waislam wanatakiwa wakemee vitendo vya kigaidi, ili watu wote wajue kwamba dini ya Kiislamu haina mafundisho ya kigaidi.
Tambua kwamba viongozi wa kupandikizwa wamejaa kibao...kwa zama hizi kuna viongozi wanaopotosha na wapo ambao wanaiendeleza dini hii kwa haki na kuielimisha jamii kwa usahihi....uislamu hauna historia ya kigaidi na ugaidi hauna nafasi katika uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiua kwa kupigania dini unapata haki ya bikra 72 kule juu mbinguni mara baada ya kifo chako kwa wale wafia dini kama hao vijana wa makundi ya kiharamia jamii ya bokoharamu

Huko mbinguni kuna mito ya pombe za kila aina, hivyo vilivyo haramu huku duniani mbinguni ni halali kabisa hii ni kwa mujibu ya Qur'an kitabu kitakatifu
Mmmmh
 
55. Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Shida katika uislamu na hayo yote uliyoyataja mleta mada ipo ktk tafsiri ya quran miongoni mwa viongozi wa waislamu ndio shida zote zinapoanzia na vurugu zote

Mfano hiyo aya hapo juu ambayo ipo ktk Suurat Al I'imran kwenye hiyo aya Ahmadiya wana tafsiri yao ambao wao wanakiri kuwa Issa ni kweli alikufa kama Allah alivyosema atamfisha ukija kwa wasunni na washia wanakataa tena wakiwaita ahmadiya ni makafiri kwa kukubali Issa alikufa kama wakiristo wao wanasema Issa hakufa ila Allah alimuepusha na kifo na kumpeleka sehemu salama

Kwa mfano huo utaona shida kubwa ndani ya uislamu ni tafsiri ya maandiko yao wao wenyewe na hivyo kupelekea matatizo
 
kwa hiyo nyie kwenu dhambi ni vita tu? kwanza hamuoni kuwa wazungu ndo wanafuata mali za waarabu ndo mana wanawatibulia amani ili waweze kuchota mafuta yao, na DRC wamevurugwa ili watu wachukue almasi, juzi juzi wametibua libya..apa bongo pia tukiwanyima nyima dhahabu na gesi hawakawii kuwapa zanzibar au chadema silaha tupigane wao waendelee kuchota mali..

suala la watu fulani kukosa maadili ya kidini huwezi kusema ni kutokana na dini yao...tukianza kuchambua nchi za kikristo apa zenye mambo ya ajabu hatutamaliza ntakusaidia kidogo kitu...

tafuta research data za europe kuhusu yafuatayo uone kwanini muslim community inaheshimika sana europe

google police reports on below issue..
- number of muslim drunk and drive cases
- number of muslim women abuse cases
- number of muslim neighborhood violence cases
- number of muslim rape cases
- number of muslim young age clubbing and alcohol abuse cases

hutokuta kijana wa kiislam Ulaya kafanya vituko vya ajabu ajabu sijui gays, sijui lesbians, etc
 
Tambua kwamba viongozi wa kupandikizwa wamejaa kibao...kwa zama hizi kuna viongozi wanaopotosha na wapo ambao wanaiendeleza dini hii kwa haki na kuielimisha jamii kwa usahihi....uislamu hauna historia ya kigaidi na ugaidi hauna nafasi katika uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo anayewapandikizia viongozi ni nani ? na kwa faida gani?
 
Duh! we unaamini kabisa hayo makundi yana dalili ya kuteka dunia? na unaamini kabisa hao wakubwa wa dunia wamewashindwa?
Asante kwa kuniona.
Ninachosema ni swala la kiuchambuzi tu.
Kila kitu kilianza kwa wazo na matendo ya kiwango kidogo halafu kikakua.
Ninachouliza kama hawa wanaharakati wa Ki-Al-Shabab, Bokoharam nk.
Wanaitaka dunia ya aina gani ?
Ki darubini ya mbali kama watafanikiwa kuitawala dunia hapo baadae labda.
Wata zi chukulia vipi jamii mbalimbali za dunia na kuzihudumia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo nyie kwenu dhambi ni vita tu? kwanza hamuoni kuwa wazungu ndo wanafuata mali za waarabu ndo mana wanawatibulia amani ili waweze kuchota mafuta yao, na DRC wamevurugwa ili watu wachukue almasi, juzi juzi wametibua libya..apa bongo pia tukiwanyima nyima dhahabu na gesi hawakawii kuwapa zanzibar au chadema silaha tupigane wao waendelee kuchota mali..

suala la watu fulani kukosa maadili ya kidini huwezi kusema ni kutokana na dini yao...tukianza kuchambua nchi za kikristo apa zenye mambo ya ajabu hatutamaliza ntakusaidia kidogo kitu...

tafuta research data za europe kuhusu yafuatayo uone kwanini muslim community inaheshimika sana europe

google police reports on below issue..
- number of muslim drunk and drive cases
- number of muslim women abuse cases
- number of muslim neighborhood violence cases
- number of muslim rape cases
- number of muslim young age clubbing and alcohol abuse cases

hutokuta kijana wa kiislam Ulaya kafanya vituko vya ajabu ajabu sijui gays, sijui lesbians, etc
Kwani Population ya Muslims in Europe ni kubwa kuliko ya wazungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom