"R-chuga" enzi hizoo!

Si ndiyo chini ya safari hotel kulikuwa na CAVE DISCO?

Nakumbuka kwenda kumtembelea Marehemu dada yangu aliyekuwa kafikia hapo Safari hotel.

Walikuwa wakipiga Classic music na sikuweza kuona spika zake...... Nikawavulia kofia.
 
Duuh!mzima mzima unakumbuka?Hiyo ilikuwepo pia hata miaka ya mwanzo ya 90.Kulikuwa raha bana!
 
Bwana wee,
Ulikuweko kweli enzi hizo? Haki ya nani, umenkumbusha mbaaali sana. Dar kwenda Arusha wiki.
Ha ha ha!umenichekesha kweli,usafiri gani?Treni siyo?Lakini kweli barabara ya Dar Arusha ilikuwa mbaya hata miaka ya karibuni nadhani 90's,mabasi yalikuwa yakisafiri usiku tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…