R.I.P Al-Baghdad

wapo wanao sema Baghdad Ni huyo kushoto wengine wanasema Ni huyo kushoto nyuma ila Ni kweli alikutana na Baghdad akakaa nae leo amemuua
 
Propaganda nyingi ili kupunguza watu makali ya kuipigania dini yao, ila ata iwe vipi uislamu utatawala tena dunia kama ulivyotawala hapo mwanzo in sha Allah.
 

Allah hapiganiwi ni vikundi vya kisiasa hivyo, usimeze sumu itakuua
 
Kakwambia nani vikundi vya kisiasa wakati Kuna dhehebu flani ndio mafundisho yake kwa vijana,ili wampiganie Allah.

Mimi ndio nakuambia ww c unasikia, hivyo ni vikundi vya mabeberu muislam safi hana muda na wanasiasa hao
 
Unaanzaje kumpigania Mungu huoni kama ni dhihaka na kufuru?! Mpiganie Mungu kwa kueneza neno lake ni si vinginevyo.
 
Huyu jamaa nadhani wamemuua sababu mission ya kumtoa Al Bashar ameshindwa kuikamilisha.

Ila Osama huenda yupo mahali anakula zake bata maana alikamilisha missions nyingi za USA kwa ufanisi wa hali ya juu.

Unforgetable
Ili jambo nimelizungumza mahali juzi kushinda jana, Osama aliyeuawa na Marekani bila maiti yake kuonekana, eti ametupwa baharini ni uzushi.
Ghadafi alivouawa tulimuona, Sadam Hussein tulimuona, sembuse Osama? Kuna siri kubwa sana nyuma ya mauaji ya Osama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…