mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
IKWETA KONZO M nimeitafuta Sana hiyo picha ya mc Cain na kina Baghdad ila sijaiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini zimefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi,Mimi naona maada yako ina lengo la kuficha ukweli kuwa makundi yote ya msimamo mkali yanampigania Allah.alikaida,alnusra,Boko haramu,alshababu n.k.hao nao je?msipindishe ukweli,wengine tulionao kwa jamii wameficha makucha tu na kwa sababu ya sheria za nchi husika la sivyo sijui ingekuwaje.
Nukta.
Kakwambia nani vikundi vya kisiasa wakati Kuna dhehebu flani ndio mafundisho yake kwa vijana,ili wampiganie Allah.Allah hapiganiwi ni vikundi vya kisiasa hivyo, usimeze sumu itakuua
Kakwambia nani vikundi vya kisiasa wakati Kuna dhehebu flani ndio mafundisho yake kwa vijana,ili wampiganie Allah.
Ili jambo nimelizungumza mahali juzi kushinda jana, Osama aliyeuawa na Marekani bila maiti yake kuonekana, eti ametupwa baharini ni uzushi.Huyu jamaa nadhani wamemuua sababu mission ya kumtoa Al Bashar ameshindwa kuikamilisha.
Ila Osama huenda yupo mahali anakula zake bata maana alikamilisha missions nyingi za USA kwa ufanisi wa hali ya juu.
Unforgetable
Allah hapiganiwi ni vikundi vya kisiasa hivyo, usimeze sumu itakuua