R. I. P Baba yangu..

R. I. P Baba yangu..

Pole sana Mshkaji wangu,
Sote njia yetu ni moja, so tunatakiwa tushukuru kwa kila jambo... Bless
 
Pole sana Mkuu members wenzio tunamuomba Mungu akupe subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na Mungu amlaze mahali pema peponi
 
Pumzika kwa a man I babamkubwa wangu..
Umetuachia pengo kubwa kwenye familia, ulitupenda sana wanao. Tutamiss hekema na upendo wako Baba mkubwa Inshallah Allah akuremu
Amin.
Pole sana kwa msiba.

Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Baba apumzike kwa Amani.
 
I don't know exactly where do they get such guts... Ila ndo omboleza ya kidigitali
Misiba ilikuwa zamani.... watu waliomboleza kwa heshima na walikuwa na muda wa kutafakari na kuhakikisha marehemu anasitirika na kuombewa. Sikuu hizi msiba ni maonyesho kuanzia mavazi na mashindano ya vyakula. Hakuna staha kwa marehemu anaweza pigwa picha akiwa mdomo waziiii.... kila mmoja ana haraka ya kutoa taarifa ya msiba ili awe wa kwanza kuongea. Ili mradi tafurani..... Hakuna mwenye muda wa kumuombolezea marehemu.....
 
Na una muona mfiwa akijibu comments kila dakika.
sasa sijui hata hizo shughuli za msibani anazifanya saa ngapi..?
haya mambo ndio yamepelekea mpaka kukawa na vikundii vya
kulia na kuomboleza kwa kugaa gaa msibani huku wafiwa wakiwa
online kutoa updates and kujibu comments za msiba.

Mwafwaaaaa.....
Mondray pole. Ila
Sioni haja ya wewe kutangaza humu. Ingetosha tu kuomboleza kwenu yakaishia huko.
 
Na una muona mfiwa akijibu comments kila dakika.
sasa sijui hata hizo shughuli za msibani anazifanya saa ngapi..?
haya mambo ndio yamepelekea mpaka kukawa na vikundii vya
kulia na kuomboleza kwa kugaa gaa msibani huku wafiwa wakiwa
online kutoa updates and kujibu comments za msiba.

Mwafwaaaaa.....
dah! mkuu umenena vema. This is too much!..
 
Pole sana Mondray M/Mungu akupe wepesi, subra katika hiki kipindi kigumu
اعظم الله اجرك واحسن غذاكا و غفر لميتكا
 
Pole sana Mondray na familia yote. Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Ampumzishe kwa amani.
 
Back
Top Bottom