Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Dunia imeondokewa na Kiongozi mkuu wa kiimani aliyepambana kutafuta haki. Taarifa za kifo chake zimetolewa Leo hapa South Africa na Mhe. Rais wa S.A, ni kilio na simanzi lakini pia ni furaha kwa kiumbe huyu aliyesimama upande wa haki.
Huko Tanzania ujumbe wa Christmas uliotolewa na Dr. Shoo SIKU ya jana dhidi ya watawala kuacha kutumia madaraka vibaya naweza sema ni no ya sauti inayoonyesha kwamba hata kwenye zama hizi za nchi nyingi za Afrika kuwa na makaburu wanaokwenda kwenye nyumba za ibada kuhubiri amani wanayovunja wenyewe basi wapo viongozi wa aina ya akina Tutu wanaoweza kukemea hadharani.
Hii ni tofauti na viongozi walio wengi wa dini Tanzania abao wanasikia watu wanatekwa lakini wanahubiri tiini mamlaka, wanasikia watu wameuawa wanahubiri tiini mamlaka, wanaona watu wanaonewa wazi wanasema tiini mamlaka, wanaona amani inatoweka wanahubiri tiini mamlaka...
Tujirekebishe tunapokwenda kumlaza babu yetu kwenye nyumba ya milele.