R.I.P Desmond Tutu, tujirekebishe tunapokwenda kumlaza babu yetu

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Dunia imeondokewa na Kiongozi mkuu wa kiimani aliyepambana kutafuta haki. Taarifa za kifo chake zimetolewa Leo hapa South Africa na Mhe. Rais wa S.A, ni kilio na simanzi lakini pia ni furaha kwa kiumbe huyu aliyesimama upande wa haki.

Huko Tanzania ujumbe wa Christmas uliotolewa na Dr. Shoo SIKU ya jana dhidi ya watawala kuacha kutumia madaraka vibaya naweza sema ni no ya sauti inayoonyesha kwamba hata kwenye zama hizi za nchi nyingi za Afrika kuwa na makaburu wanaokwenda kwenye nyumba za ibada kuhubiri amani wanayovunja wenyewe basi wapo viongozi wa aina ya akina Tutu wanaoweza kukemea hadharani.

Hii ni tofauti na viongozi walio wengi wa dini Tanzania abao wanasikia watu wanatekwa lakini wanahubiri tiini mamlaka, wanasikia watu wameuawa wanahubiri tiini mamlaka, wanaona watu wanaonewa wazi wanasema tiini mamlaka, wanaona amani inatoweka wanahubiri tiini mamlaka...

Tujirekebishe tunapokwenda kumlaza babu yetu kwenye nyumba ya milele.
 
Kwa Sami viongozi wa dini hawana Cha kukosoa Mana siyo mtu wa mabavu ni mtu wa haki. Labda Kama hawa viongozi wa dini watakisoa for the of kukosoa kwa kuiga kwamba lazima ukosoe tu.


Hata chadema hawaoni umuhimu wa kukosoa tena Mana hawakioni Cha kukosoa hata wakitumia tochi. Wanatamani jpm arudi ili waendelee kukosoa wasipotee. Kwa Sami vyama vya kukosoa vitajizika vyenyewe vitabaki vile vyenye masuala Kama ACT.

Samia shikila hapohapo limebaki moja tu la mbowe nalo likiisha upinzani kwishney
 
RIP Mkulu Tutu,you TALK TRUTH to the one's who hold POWER.
 
The response of the authorities has been an escalating intransigence and violence, the violence of police dogs, tear gas, detention without trial, exile, and even death - Bishop Desmond Tutu
 
There is no peace in Southern Africa. There is no peace because there is no justice. There can be no real peace and security until there be first justice enjoyed by all the inhabitants of that beautiful land - Bishop Desmond Tutu
 
Je makundi ya machinga tunayoyaona katika mitaa yetu, ni sawa na sera mbovu za ubaguzi wa kiuchumi na kijamii zilizokuwapo Afrika ya Kusini ?

 
Watu kubambikiwa kesi , kukamatwa, kukimbilia uhamishoni kujinusuru na ukandamizaji ...

 

Desmond Tutu​

Nobel Lecture​

Nobel Lecture*, December 11, 1984

 
Walioumbwa ni adam na eva tena eva alitolewa ubavuni mwa adam. Kama ingekuwa kawa unavyofikiri tulikuwa hatuhitaji dini wala kiongozi wa dini.
Alikuumba hata wewe; akiumba Adamu na Hawa aliwaumba pamoja na DNA zao na katika DNA hiyo uwezekano mdogo upo kutokea kwa namna tofauti; wako wanaozaliwa wakiwa na jinsia mbili (wakiwa na mboo na uke wakati mmoja), wako wanaozaliwa ambao hawavutwi na jinsia tofauti, wako ambao hawana hamu ya ngono kabisa . . na pia hao ambao tunawaita washoga. Wote ni watoto wa Mungu, wanaopendwa, wote wanatakiwa kufuata amri kuu ya kumpenda Mungu na jirani, na kutoumiza wengine. Na kutotunza chuki dhidi ya binadamu wengine moyoni.
 
I wonder if Winnie Mandela would have been alive would have said the same thing!
With my respect to Winnie,personal Winnie she drop the ball including affair with former chairman of EFF,unaelewa why Madiba alitoka jela pale Paarl very late?siku aliyoachiwa jela?kwangu Winnie ni strongwoman sio role model na aliachika kwa Madiba na siku ya msiba naye akajiweka amefiwa na mme!kudos kwa Gracel Machel she is a lady anayejielewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…